Kiwanja kinauzwa Tabata Segerea

bazoka

JF-Expert Member
Mar 18, 2013
300
142
Wasaalam!

Nauza kiwanja kipo Tabata segerea kina ukubwa wa 25 kwa 27 hakijapimwa kipo karibu kabisa na stand ya Tabata SEGEREA bei ni tsh 25 milioni kina mikataba ya awali ya mauziano na tayari kina msingi wa awali karibuni sana!ukihitaji waweza ni PM!

Waweza kuwasiliana nami kwa namba 0621-873514

Asanteni!
 
Unofficial Surveyed plot at Kitunda Magole(Pamepimwa vizuri sana kienyeji), near Mwanagati.

Size 50sqft X 50Sqft.

Bei ni 7m.

Umeme papo hapo huitaji nguzo. Maji yapo jirani mita hamsini, unafungiwa Mita na kulipia kila Mwezi unit moja sawa na 50 Ndoo, Tsh 2,000/-

Makazi mapya.

8.4Kms From Banana Aviation.
18.8Kms From City Centre(Clock Tower)

0715-240140
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom