SEMINAR SEMINAR

kirabe

JF-Expert Member
Jan 29, 2015
434
300
*UNITED NATION CHAPTER-IFM!!!*
Imeandaa semina ya *Ujasiriamali na Maendeleo endelevu ya dunia.*

*TAREHE:* Jumamos ya 25/06/2016

*MUDA:* Saa 2 Asubuhi- saa 7 mchana

*ENEO:* FUCTION HALL-IFM (POSTA)

*WALENGWA:* UN chapter IFM,UN-Chapter zote za dar,mabalozi wote wa maendeleo Endelevu ya Dunia na wadau wote wapenda maendeleo!!!

*WAZUNGUMZAJI WAKUU*

Ms. JOKATE MWEGELO-Ujasiliamari

*MABALOZI WA MALENGO ENDELEVU YA DUNIA*

Athuman Mazala
Daniel Mhila
Innocent Mkota: Watafundisha Malengo Endelevu ya Dunia.

*Kwa maelezo zaidi na kujiandikisha kushiriki:*

*JINA* Daniel Mhila
*SIMU*0713766769
*Baruapepe*:Daniel Mhila@gmail.com

*JINA:* George Ngonyani
*Simu*0676142197
*Barua pepe:*Geofreygeorge2@gmail.com

*JINA:*Edmud J. Mipawa
*SIMU*0713264683
*Baruapepe*:edmundjohn93@gmail.com

*WATU WOTE MNAKARIBISHWA*

*KAULI MBIU:* HATUMUACHI MTU NYUMA

*KWA KWELI HII SI YAKUKOSA!!!*
SIRI ILIYOPO NI KUWA;
*Hili ni tukio la kwanza kubwa la kihistoria linalowakutashisha Mabalozi wote wa Malengo ya dunia waliopo mkoa wa DSM*

*KUMBUKA!!!!*

Wadau wote wa UN-chapter IFM Mwaka wa tatu Hawatakiwi kukosa TUKIO HILI!!!

67ce9886279c6235449d2cd0161f3835.jpg
 
Back
Top Bottom