Kuna kipindi nilitoa tangazo la kuhusu uchoraji wa picha, kuna mtu alinilipa pesa adavance picha yake ichorwe, mchoraji akapata tatizo, na pesa alikuwa katumia, nikakubali mim kumlipa yule ndugu...
Wakuu habarini popote mlipo.
Ninahitaji gari moja kati ya hizi na iwe no.c au d. na iwe na hali nzuri.
Toyota premio new model
Toyota raum new model
Vitz new model
0753255844
MAZIWA SAFI YASIYOCHANGANYWA NA MAJI WALA CREAM!!!
Tunauza maziwa fresh na mtindi kuanzia lita tano
Maziwa fresh kwa lita tano ni 10,000/-Tshs.
Maziwa mtindi kwa lita tano ni 12,000/-Tshs...
kuna viwanja kinauzwa maeneo ya mbezi Luis DAR
Cha kwanza ni 30*30 milioni 22
kimepimwa na kina ati miliki
Cha pili ni 25*30 milioni 17
kimepimwa na kina ati miliki
Cha tatu ni 20*22 milioni 7...
Wale wanawajua kamongo kutoka singida kazi kwenu sasa nawaleta dar kila tar kumi kwa ordar tu
Kama unahitaji nipigie au sms no 0755250190 naondoka jumanne kuwafuata ukipiga nitakuambia bei
15acres of agriculture land is for sale at Mkuranga district.
The agriculture land with 15acres is for sale in coast region at mkuranga district near by Bigwa village. It is 45minutes drive from...
Habari wadau.
Nimepata deal ya kumtafutia Soko Mteja kwaajili ya bidhaa ya Tangawizi ambayo anatarajia kuivuna wakati wowote kuanzia Sasa na baada ya kupata ODA ya mnunuzi.
Utafiti wangu wa...