Kontena za 20ft kwenye hali nzuri na karatasi zote zinauzwa $1300 reja reja au jumla, kontena ziko Dar es Salaam. PM kama muhitaji.
Swali zuri sana. Hii nchi bana vitu vingine sio. Hii ni miongoni mwa sababu kwanini dola inazidi kupanda bei.Kwanini mnauza kwa dollar?