Mifumo midogo pia ya Solar inapatikana kwa gharama nafuu zaidi.
Huduma zetu ni kwa mikoa yote.
Tufollow Instagram @snlsolarltd @snlsolarltd
TuLike Facebook: SNL SOLAR CO. LTD
OFISI ZETU ZIPO...
Mifumo midogo pia ya Solar inapatikana kwa gharama nafuu zaidi.
Huduma zetu ni kwa mikoa yote.
Tufollow Instagram @snlsolarltd @snlsolarltd
TuLike Facebook: SNL SOLAR CO. LTD
OFISI ZETU ZIPO...
Iwe na fw na hali nzuri
CABRETA AU INJECTION
MILLEDGE KIDOGO
Mafundi wangu wataikagua
mtumiaji awe ametumia matumizi ya kawaida
bei mil 4500000
no 0718493001
KARIBUNI TUFANYE BIASHARA YA...
Habari za asubuhi wakuu,
Kwa anayefahamu zilipo ofisi za kampuni ya Bunwani enterprises, kampuni ya kuchimba visima naomba msaada.
Ipo Dar es Salaam, sijajua ni Dar sehemu gani.
Navitafuta hivi vitabu kwa mwenye navyo wakuu au anayejua naweza vipata wapi.
1. The Forbidden Subject
2. The Partnership
By Aboud Jumbe.
Natanguliza shukran.
Nyumba ina vyumba 3 kimoja ni self, ukubwa wa uwanja 2000sqm na kimepima na kina hati yaani Title did ya miaka 99 bei yake 220ml
Kwa maelezo na kuhitaji kuja kuiona wasiliana nami kwa 0756060183
Je wewe ubasumbuliwa na moja ya haya yafuatayo;-
# Kisukari.
# Shinikizo la damu.
# Maumivu ya viongo.
# Upungufu za nguvu zakiume.
# Upungufu wa kinga mwilini.
# Mtoto anasumbua Kula, anakua kwa...
Kiwanja kinauzwa kipo kitunda machimbo ukubwa mita 38 kwa 36. Na kina room mbili mwenye kuhitaji piga namba 0713669533. Picha zipo. Wateja mnakaribishwa. Madallali pia.
Je unahitaji mabox ya kufungashia cake?
Tuna mabox yenye ukubwa mbalimbali kwa ajili ya kuhifadhia keki.
Popote ulipo Tanzania tutakufikishia mzigo.
0754810853 na 0755092734
Habari za leo wakuu....nauza pumba ya mahindi ipo kibaigwa dodoma....jumla ipo gunia 300 za kilo 70 kila moja. Punba nauza kilo tsh 200 na tshs 14000 kwa gunia. Usafiri ntamuorganizia. Karibuni...
Naombeni mwenye kujua bei ya mashine ya max malipo anisaidie niijue, lakini pia nahitaji kujua Kama nikiinunua hiyo mashine itakuwa imeshaunganishwa na huduma mbalimbali Kama tigo pesa, Airtel...
Habari wana JF?
Nipo Halmashauri ya Chalinze idara ya Elimu Sekondari natafuta Mwl wakubadilishana naye wa Temeke, Kigamboni au Mkuranga. Anitafute kwa 0786864257
HABARI,
KUNA MDAU ANAUZA GARI YAKE KAITUMIA CHINI YA MWAKA MMOJA.
MAELEZO YA GARI NI HAYA;
"2003 IST
Low mileage (65,300 KM)
Comprehensive Insurance paid
Good condition (1.3l engine)
Price...