Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

4 Bedroom Unfinished House for Sale in Salasala, Spacious Lounge, 4 en Suite Bathroom and kitchen area. Price Tshs 350mil Per unit. For more information call or whatsapp 0784225000
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wanaJF, napenda kuwangazia kwamba tunatoa masomo ya pre-form kwa ada ya shilingi 20,000/= kwa mwezi na mafunzo ya computer ni bure. Mlete mtoto wako, mdogo wako asome computer bureee kwa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nahitaji Betry ya HP 2000 Notebook PC design capacity 4400 mAh pls inbox price na pa kuipata
0 Reactions
7 Replies
991 Views
Nipo Ubungo Riverside Dar es salaam. Kwa siku ni 300,000/= na ukikodi kwa zaidi ya siku kumi utapunguziwa bei kuwa 250,000/= kwa siku. Pia mimi ni Private Surveyor ambae natoa ushauri mbalimbali...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Nauza simu yang techno R7. Lak na tisini nipo Arusha ina crash kwny kioo ila bado inatumika bila Shida .mawasiliano. 0717997244
0 Reactions
3 Replies
1K Views
HDD 500 gb, ram 8gb , web cam,
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wakuu rejea somo tajwa hapo juu Nahitaji mashine ya kukatia viazi kwa ajili ya chips, mashine hizi hazitumii umeme, kama kuna mtu anauza tuwasiliane pm au kama kuna sehemu unaijua zinauzwa basi...
0 Reactions
7 Replies
5K Views
Nina laptop hp elitebook 8440p,inatatizo la motherbod nauza kama spare kwa yule atakayehitaji!mafundi wale wa computer inawahusu .Ni core i 5,Ram 4 hardisk 320 na adapter yake ipo .Inamwaka mmoja...
0 Reactions
0 Replies
733 Views
Salam, Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu Vifaa vya biasharaa ya chips vinahitajika.kama kuna mdau anavyo tuongee biashara Vinahitajika full kwa maana ya kama mtu alikuwa anafanya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Product: Macbook Pro Core Processor interface:. Intel Core i5 clock speed @2.4ghz Ram 4gb DDR 3 (1333mhz ) Hdd 500gb ( S-ATA) Intel HD graphics 3000 (video card) 13 inches LCD display...
1 Reactions
2 Replies
888 Views
Wakuu natafuta taa za mbele (head lamp) za toyota harrier 2005 model ziwe brand new original water resistance. Kama unauza au unafaham mahala naweza pata mkoa wowote niambie tafadhali.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
AUTOMATIC AIRTELMONEY/EZYPESA/M-PESA/TIGOPESA RECORD KEEPING AND ACCOUNTING APP I have written a simple but powefull app to take away the pain in recording AIRTELMONEY/EZYPESA/M-PESA/TIGOPESA...
2 Reactions
3 Replies
2K Views
Heshima wakuu! Naomba na natafuta exporter anayepeleka au aliyewahi kupeleka matunda na mboga kutoka Tanzania kwenda UAE,nimepata soko nataka kushirikiana nae. Napatikana kwa email ^...
1 Reactions
1 Replies
856 Views
Kwa wadada na wakaka wanaojipenda na wanapenda kutumia vitu asilia,sabuni kutoka kampun ya BF SUMA -Anatic herbal soap ni sabun yenye maajabu,kwanza:- #inaondoa fangasi za kila aina mfano fangas...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Huyo Jamaa mbona kimya sana wacha tumkumbushe kazi yake.... Ndugu Shigongo hebu fanya Tamasha lako la Amani pale Biafra au Umeishiwa? Nchi yetu imekumbwa tena na lile songombingo la watetea...
0 Reactions
1 Replies
935 Views
Je unahitaji 1.nyumba ya kununua 2.gari 3.vifaa vya migodini Vyote hivi utavipata hapa mwanza Contact. mwanzasales@gmail.com Facebook//mwanza sales Instagram @mwanza_sales Jamii forum Mwanza...
0 Reactions
2 Replies
770 Views
habarini za mchana wakuu, natafuta mahindi ya njano, yale ambayo unga wake watu huuita unga wa yanga. ninahitaji tani 10. mahindi yawe yanatoka Dodoma, maana wao wanalima bila mbolea. kwa anaejua...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Goodmorning... Kama Tangazo linavyojieleza hapo juu, nauza viwanja vyangu viwili ambavyo vyote vipo wilaya ya Kinondoni mkoa wa Dar es salaam. Kiwanja kimoja kipo kata ya Goba ambacho ukubwa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Back
Top Bottom