Mlaleo
JF-Expert Member
- Oct 11, 2011
- 16,376
- 13,196
Huyo Jamaa mbona kimya sana wacha tumkumbushe kazi yake....
Ndugu Shigongo hebu fanya Tamasha lako la Amani pale Biafra au Umeishiwa?
Nchi yetu imekumbwa tena na lile songombingo la watetea Amani na Wavuruga Amani kimakusudi... Kila Mtu ajifeel Moyoni Mwake kama amekosea basi Atubu kwa Watanzania