jimmyfoxxgongo
JF-Expert Member
- Jan 23, 2013
- 5,352
- 9,368
Salam,
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu
Vifaa vya biasharaa ya chips vinahitajika.kama kuna mdau anavyo tuongee biashara
Vinahitajika full kwa maana ya kama mtu alikuwa anafanya biashara ya chips kisha akaacha itakua poa sana
Nawasilisha