Wakuu rejea somo tajwa hapo juu
Nahitaji mashine ya kukatia viazi kwa ajili ya chips, mashine hizi hazitumii umeme, kama kuna mtu anauza tuwasiliane pm au kama kuna sehemu unaijua zinauzwa basi naombwa kujuzwa, natanguliza shukrani
shukmkuu mkuu
Vp umeipata?ila kule zp za plastic mkuu,mim ninayo moja nilinunua kariakoo inamwaka wa tatu sasa,