habari zenu wadau kwa wale wote wenye mitaji hawajui namna ya kuitumia(mchanganuo wa biashara) na wale ambao wanataka kuanzisha makampuni na hawajui wanaanzishaje pia wale ambao wapo kwenye...
Ninauza shamba maeneo ya horohoro, ni kolimita sita kabla hujafikana mpakani horohoro kwenda Mombasa. Shamba ni hekari 13, lina lambo kubwa la maji lenye kuweza kuhifadhi maji msimu mpaka msimu...
Twende udzungwa national parks weekend ya jumamosi ya terehe 27/8 na kurudi ni Jumapili ya terehe 28/8. Gharama kwa mtu mmoja ni 80,000/- tu. Safari itaanzia Ubungo, Dar es salaam. Wahi nafasi ni...
Je wewe ni mwanadada unayependa kujisitiri kisasa?
Kwako mwanaume...mwenye wake/mke na hata michepuko [emoji4][emoji4]
Haya hapa mabaibui ya kisasa...
Ni mwendo wa kujisitiri kwa mwendo...
REMAX 200HB HiFi V4.1 Bluetooth Headset
HiFi sound with little distortion, naturally presents the original charm of the music
Balanced high pitch and low tune, wonderful sound feast enjoyment...
FOR
▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃ DATE LISTED: 1 AUGUST 2016
ASKING PRICE: TSH:500,000
laki 5
TERMS OF PAYMENT: 6
MONTHS ( miezi 6) + KODI YA MWEZI MMOJA YA DALALI
DIRECTION...
Kwa mlioko Arusha,
Nakodisha vyombo vya Muziki k.v. Kinanda, Gitaa Speaker na Drum. Pia kama una Harusi au Sherehe yoyote na ungehitaji Bendi au solo Performer (kinanda tu), tuwasiliane kwa namba...
Natafuta kiwanja Dodoma mjini maeneo ya kisasa au mwangaza kuwe na huduma za kijamii kwa maana ya barabara, maji na umeme
Kisipungue 1500sqm au viwe viwili vinavyopakana vyenye ukubwa wa 900sqm @...
Mwenye kiwanja Dodoma mjini kuanzia sq.m 1000, maeneo ya njedengwa au ilazo. Kiwe tambarare
Dalali sihitaji, makubaliano kati yangu na muuzaji mwenye kiwanja
Two surveyed plots with title deeds
(1) 5,115 sqm (2) 9,199 sqm.
Good access road off the Dar es Salaam-Mtwara Highway.
No middlemen required.
Only interested buyers should in-box me.
Habar zenu wanachama wa JF.
Nina habari Nzuri kwa wote wanaohitaji Payroll calculator/ Sheet kwaajili ya kukokotoa mishahara ya wafanya kazi yenye sifa zifuatazo :
1. Iko updated katika PAYE...
Mwanasaikolojia Anti Sadaka Ameandaa Semina kwa Vijana Na Amewaomba Wazazi na Walezi kuwashirikisha kwenye hii semina ya vijana.... "College Ready" kwa vijana wote walio vyuoni na wale...
Nina Chaja ya laptop ambayo inaweza tumika kwenye umeme wa Gari,Battery ya Gari au Solar(input 11V to 14V) kwa ajil ya kuchajia laptop,inaweza tumika kwa aina 8 tofauti za laptop(ina pin 8 so...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.