zaitmemee
Senior Member
- Aug 14, 2015
- 186
- 40
habarini za mchana wakuu, natafuta mahindi ya njano, yale ambayo unga wake watu huuita unga wa yanga. ninahitaji tani 10. mahindi yawe yanatoka Dodoma, maana wao wanalima bila mbolea. kwa anaejua wapi naweza pata kwa mkoani Dodoma ntashukuru sana, au kwa namna yoyote ile akiweza kunisaidia ntashukuru pia. anaweza ku ni PM. au
contact zangu ni hizi : 0714-943684
0625-629432.
asanteni sana
contact zangu ni hizi : 0714-943684
0625-629432.
asanteni sana