Habari zenu wanajamvi natumai ni wazima wa afya.
Naomba msaada wa kujua gharama za guta au kwa anaemfahamu fundi mzuri wa kutengeneza guta anisaidie mawasiliano yake.
Nawasilisha.
Gaming mouse, wireless kwa bei ya shilingi 10,000
Inafaa kwa matumizi ya kawaida pia.
Tofauti yake na mouse ya kawaida ni kwamba iko more sensitive kwenye surface yoyote.
Ina additional buttons...
Habari wana Jf,
Nahitaji msaada kwa yeyote anayefahamu eneo lenye mashamba ya kukodisha kwa ajili ya kilimo cha umwagiliaji mikoa ya Arusha na Manyara. Lengo likiwa ni kufanya kilimo cha mazao ya...
Tumia virutubisho asilia ubaki na afya yako njema na ufurahie maisha:-kahawa hii ya reishi iliyotengenezwa na kampun ya bf suma haina caffeine.
#inaondoa msongo wa mawazo.
#inayoa uhuru wa...
Kwa wadada na wakaka wanaojipenda na wanapenda kutumia vitu asilia,sabuni kutoka kampun ya BF SUMA -Anatic herbal soap ni sabun yenye maajabu,kwanza:-
#inaondoa fangasi za kila aina mfano fangas...
Kwa wadada wanaojipenda na wanapenda kutumia vitu asilia,sabuni kutoka kampun ya BF SUMA -Anatic herbal soap ni sabun yenye maajabu,kwanza:-
#inaondoa fangasi za kila aina mfano fangas za vidolen...
Linaukubwa wa ekari tano bado ardhi yake ni bikra hajawahi kupandwa chochote inafaa kwa mazao yote yanayolimwa mkoa wa tanga hususani muheza. Mawasiliano 0716238374, 0683361843,
Wakuu salaam!Najua humu kila mmoja ana msaada kwa mwenzake coz tunaishi kama familia,kwa ufupi tunategemeana.
Nipo hapa kutoa msaada kwa yeyote aliye mbali na wilaya ya Mkuranga mwenye mahitaji...
Karibu tulime tikiti maji ujikimboe tengeneza hadi mil 5 kwa siku 60 tu kamafaida yakuwekeza kwenye kilimo,karibu vikindu.mawasiliano 0628910680 kesho kuanzia SAA moja ntakua shamba kugawa...
Pata notes nzuri zenye kushiba maelezo ya kina juu ya kutengeneza pesticides na insecticides za mbogamboga, wadudu waharibifu kama kunguni,chawa,mende n.k mwenyewe kwa kutumia organic materials...