Mark X (Silver) inauzwa

Mbimbinho

JF-Expert Member
Aug 1, 2009
8,328
7,774
197141-03.jpg
197141-03.jpg
197141-07.jpg
197141-08.jpg
View attachment 336411 View attachment 336411
197141-15.jpg
197141-16.jpg
197141-19.jpg
197141-19.jpg
197141-22.jpg
197141-24.jpg
197141-24.jpg
197141-25.jpg
Make : 2005 Toyota Mark X, Metallic Silver, Engine 2.5L, For sale 15 mil., mazungumzo yapo.
Contact: 0719429913

20150907033602 (1).jpg
20150907033602.jpg
20150907033602 (3).jpg
20150907033602 (4).jpg
 
We mleta post huna dabu kabisaa.
Yaani we Gari hiyo ni ya kupigia picha sehem chafu namna hiyo?
Hembu tuombe radhi wenye Mark X alaa,unafikiria ni yeboyebo Verosa hiyo ebbo.

Tupe heshma zetu,gari hizo za heshma mkuu.Tafuta sehem kali piga picha,sio huko Tandale

Yote kwa yote mbali na muuza kutokutendea haki Mark X,gari ipo vizuri na bei ipo vizuri maana bei zake zipo juu saana.
 
Hahahahaaa., naomba radhi mkuu kwa wenye Mark X wote, hapo ni site mkuu kuna kaujenzi kanaendelea upande wa pili. Ila sio Tandale.
Machine iko vyema sana hii.
 
We mleta post huna dabu kabisaa.
Yaani we Gari hiyo ni ya kupigia picha sehem chafu namna hiyo?
Hembu tuombe radhi wenye Mark X alaa,unafikiria ni yeboyebo Verosa hiyo ebbo.

Tupe heshma zetu,gari hizo za heshma mkuu.Tafuta sehem kali piga picha,sio huko Tandale

Yote kwa yote mbali na muuza kutokutendea haki Mark X,gari ipo vizuri na bei ipo vizuri maana bei zake zipo juu saana.
Duh mzee Znzbr spices umetisha............. hizo gari mbona pia naona kama i.s.t tu zimeshakua yebo yebo mnoo. Sisi wabongo bwana kwa kuigana magari, zilianza RAV4, zikaja IST, sasa Verossa, na Mark X
 
Mkuu lakini Mark X zina heshima yake iliyotukuka pamoja na kuwa zipo nyingi. Mimi nauza kwa kuwa huku nilikohamia barabara si rafiki kabisa, naona kama naitesa sana.
 
Duh mzee Znzbr spices umetisha............. hizo gari mbona pia naona kama i.s.t tu zimeshakua yebo yebo mnoo. Sisi wabongo bwana kwa kuigana magari, zilianza RAV4, zikaja IST, sasa Verossa, na Mark X
Hahaha,unajua hizi Mark X hata kama bado zipo ila ni gari za heshima mkuu
Yeboyebo ni Verossa na Altezza

Mfano hata hizo Rav 4 unazosema bado zipo vizuri sana,kuna watu wanazo na bado zipo kwenye chati mkuu,hasa zile za zamani roho ya paka acha hizi za plastic.
 
Sawa mkuu wangu chukua gari hiyo iwe ya mitoko ya michepuko
 
We mleta post huna dabu kabisaa.
Yaani we Gari hiyo ni ya kupigia picha sehem chafu namna hiyo?
Hembu tuombe radhi wenye Mark X alaa,unafikiria ni yeboyebo Verosa hiyo ebbo.

Tupe heshma zetu,gari hizo za heshma mkuu.Tafuta sehem kali piga picha,sio huko Tandale

Yote kwa yote mbali na muuza kutokutendea haki Mark X,gari ipo vizuri na bei ipo vizuri maana bei zake zipo juu saana.
Mkuu una mbwembwe ww
 
U

Umesahau vits zikaj za kila rangi kama rainbow
 
Kibongo bongo ukitaka use na Gari ambazo hazimilikiwi na wengi in kuhamia kwenye Nissan hasa sedan, BMW, Mercs. Kule wako wachache.
Ila Luna gari za Toyota ambazo hata kama wengi wanazo bado hadhi yake haishuki, Mark X ni moja wapo.
 
We mleta post huna dabu kabisaa.
Yaani we Gari hiyo ni ya kupigia picha sehem chafu namna hiyo?
Hembu tuombe radhi wenye Mark X alaa,unafikiria ni yeboyebo Verosa hiyo ebbo.

Tupe heshma zetu,gari hizo za heshma mkuu.Tafuta sehem kali piga picha,sio huko Tandale

Yote kwa yote mbali na muuza kutokutendea haki Mark X,gari ipo vizuri na bei ipo vizuri maana bei zake zipo juu saana.
Acha mbwembwe wewe huo uchafu upo wapi hapo
 
gari ipo vizuri aisee.
Hizi gari ndani ni kama vile upo kwenye ndege,soft seats yaani raha tupu.
Sijutii kuwa nayo,
Ila tatizo lake ni moja tuu hizi gari,sijui ni kwangu peke yangu?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom