Kijundukila
Senior Member
- Apr 7, 2015
- 195
- 144
Habari zenu wanajamvi natumai ni wazima wa afya.
Naomba msaada wa kujua gharama za guta au kwa anaemfahamu fundi mzuri wa kutengeneza guta anisaidie mawasiliano yake.
Nawasilisha.