weka bei hapaView attachment 380133View attachment 380135Hizo hapo sasa note5 # kila moja ni mpyaaa pesa rahisi kuliko@1pc unataka bei#! Nicheki humu +255717956685 au +255624079307 • ujiokotee dodo chini ya mperaaa raaah!!!
Kaki?Bei ni laki 1.5 @ Tu!
Kaki?
Ni kwelBiashara zisikuwa wazi hasa upande wa bei na location huwa nazionaga kama za kitapeli.
Ni mtazamo wangu tu
kwa jiografia ipi Mzee mpaka unasema ludewa iko Iringa?ludewa ni wilaya ya mkoa wa NjombeWewe ndo yule kijana wa ludewa iringa?
Nilitumia jiografia ya kabla ya njombe kuwa mkoa.kwa jiografia ipi Mzee mpaka unasema ludewa iko Iringa?ludewa ni wilaya ya mkoa wa Njombe