IrDA
JF-Expert Member
- Aug 26, 2010
- 745
- 360
Gaming mouse, wireless kwa bei ya shilingi 10,000
- Inafaa kwa matumizi ya kawaida pia.
- Tofauti yake na mouse ya kawaida ni kwamba iko more sensitive kwenye surface yoyote.
- Ina additional buttons tatu na unaweza kuziassign zifanye any shorcut unayotaka kwenye computer bila kupata shida ya kuanza kuright click.
- Kwa wale wacheza game au vitu vingine kama graphics designing au photo editing hii inafaa sana kwasababu ya accuracy na sensitivity yake