Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Habari zenu wajasilia mali wakubwa,wakati na wadogo, fursa ya kipekee imewafikia kwa mara ya kwanza nchini Tanzania, sio wengine ni NAMAINGO BUSINES AGENCY LTD, Tunajishughulisha na kutoa elimu...
0 Reactions
3 Replies
664 Views
Pata dawa ya kudekia chooni kwa bei ya jumla na rejareja ni nzuri sana. tunapatikana kwa simu 0714291380
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Nauza meza ya sitting room 230000 na ya mbao ndogo 30000, niko ubungo maziwa. 0755661541
0 Reactions
0 Replies
3K Views
You have more changes of making it Brother himself has return after exploring in AMERICA , ASIA , DUDAI, SOUTH AFRICA we have come up with a good and big project platform sponsored by ENREDO and...
0 Reactions
0 Replies
653 Views
Habari zenu wajasilia mali wakubwa,wakati na wadogo, fursa ya kipekee imewafikia kwa mara ya kwanza nchini Tanzania, sio wengine ni NAMAINGO BUSINES AGENCY LTD, Tunajishughulisha na kutoa elimu...
0 Reactions
1 Replies
656 Views
Ndugu zangu, kwanza habarini sa siku ya leo? Naomba msaada wenu kwa mwenye kumjua supplier/fundi mzuri wa Aluminium windows anitumie contact zake hapa katika posti hii. Na kama wewe mwenyewe ni...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Nipo dsm 0658327429
0 Reactions
7 Replies
840 Views
Njia ya kusajili kampuni ya auctious kama majembe,Marcas na nyingine mwenye uzoefu ni hitaji la haraka sana 0754459572
0 Reactions
0 Replies
702 Views
Mambo vip wadau! Kuna cheti ambacho kilisahaulika hapa Ofisini kwetu hivyo naomba kama kuna ambaye anamfahamu mtu huyu anijuze. JINA: David Abunery Kimaro CHETI CHA: DEGREE OF BACHELOR OF...
1 Reactions
13 Replies
4K Views
Simu tajwa hapo juu zinauzwa. Ni mpya na zina vifaa vyake vyote. Bei ni S3-290000 wakati S 4-380000 maelewano yapo, karibuni sana. Nipigie au whatsapp napatikana dsm kwa namba 0713806766.
0 Reactions
5 Replies
865 Views
Naweka Windows 7 na 8 kwa bei Chee...Tsh.10,000 pia Antivirus Kiboko Tsh. 10,000 Mobile. 0655659115
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Kwa wale wanaohitaji mianzi kwa ajili ya bamboo furniture tafadhali tuwasiliane.. 0655957715
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wapendwa wanaJF mlokuwa mkiniuliza kuhusu namna ya kupata mtambo wa sola kwa mkopo; naomba niwapatie maelezo yenye ufafanuzi wa kina hapa chini. ANGAZA MAISHA YAKO, MILIKI MTAMBO WA SOLA...
0 Reactions
7 Replies
14K Views
Nauza switch za cooker kwa bei ya jumla 12,000. Zipo zanzibar, kutoka uk
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Banana chips/clips inapatikana Nzovwe -Mbeya follow us
1 Reactions
1 Replies
650 Views
Kwa mfugaji wa kuku wa kienyeji aliyepo songea mjini nahitaji kununua tetea 80 na jogoo 8 kwa ajili ya kuwafuga, kama unao tafadhali wasiliana nami tufanye biashara hata kama unao chini ya hao...
0 Reactions
0 Replies
741 Views
Mashinine mpya yenye pressure kubwa ya kuoshea magari kwa bei chee. Inatumia petrol. Inaitwa JD.Bei ni Tsh.750,000/ kubwa na ndogo, Tsh.550,000/ Kwa mawasiliano piga 0773 944 944
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wakuu mezani kwangu hapa kuna tablet (used) ni Samsung tab2, 10.1 version Silver in colour, Internal storage ni 16Gb pia ina memory card ya 14Gb( utapewa free) Inapiga na kupokea simu bado ina...
1 Reactions
2 Replies
965 Views
Simu ina 4G ina camera 8mp 2mp 2gb ram 16gb na haina shida yoyote kwa 140000
0 Reactions
5 Replies
939 Views
Wakuu hodi ijumaa ya leo....leo nina vifaa vya aina Tatu yaani 1. Tv chogo kampuni ya Goodmans 2. Dinner set 3. Tablet Samsung 10.1(used yenye hali nzuri bado) _Ina piga simu(ina sehemu ya...
1 Reactions
3 Replies
4K Views
Back
Top Bottom