Wakuu hodi ijumaa ya leo....leo nina vifaa vya aina Tatu yaani
1. Tv chogo kampuni ya Goodmans
2. Dinner set
3. Tablet Samsung 10.1(used yenye hali nzuri bado)
_Ina piga simu(ina sehemu ya...
Habari za Leo!,
One Realtor Co. ni kampuni inayotoa huduma zinazohusiana na mali
zisizohamishika (Real Estate) Jijini Dar es Salaam na mikoa Jirani.
Tunapenda Kukutaarifu kwamba, kutokana na...
Kiwanja kipo kinyerezi mita 20 kutoka barabara ya lami inayoelekea ktk mitambo ya umeme wa gesi.
Ukubwa wake ni m40 kwa 35.
Bei Tshs mil 25 na mazungumzo yapo.
Simu 0715/0754/0783 472414
Kiwanja kinauzwa kipo Kinyerezi Kibaga ukubwa wa 35m kwa 45m kipo kando ya barabara ya lami kuekuelekea mitambo ya gesi mita 20.
Bei tsh mil 25 mazungumzo yapo.
Piga simu 0754/0715 472414
SHAMBA NA NYUMBA INAUZWA
0767 966 955
ENEO: Kimara baruti njia ya msikitini kutazamana na bahama mama petrol station
Ukubwa: eka 2
Nyumba vyumba 4 tu. anaweza ishi mlinzi vyumba 2 vinabaki...
Simu tajwa inauzwa Tshs 300,000/= tu. Iko ktk hali nzuri, 16 gb internal memory, na haina tatizo lolote. Ina screen protector ya kioo, back cover na charger. Nipo Dsm. Kama ungependa kuwa nayo...
Kutoka kwa lemutuz blog HIKI HAPA UNACHOHITAJI KUFAHAMU KUANZIA TECNO PHANTOM A+ MPAKA PHANTOM 6 ~ Blogu ya Wananchi
Tangu uzinduzi wa toleo la kwanza kabisa la TECNO Phantom, toleo hilo limepata...
Wadau
Kwa wenye migahawa & hotel, tunauza Sato waliokaangwa toka Mwanza.Samaki wetu wanakaangwa kulekule mda mfupi baada ya kuvuliwa hivyo wanabaki na radha yake ileile tofauti na hawa...
UPDATED: Kama unahitaji Spea zozote za kumpyuta kama display za laptop size zote (10.1," 14.0", 14.1", 15.6" etc) aina zote (LCD,Ultraslim na LED) Adapter za laptop aina zote na betri zake na spea...
Pata vitenge vya wax kutoka congo DRC piece 3 kwa TZS25,000
Tunapatikana Mbeya town,Tukuyu town
place your oder at 0767142928
whatsapp/text/call:0767142928
Kwa gharama ya Tsh 20,000/= tu utafanyiwa yafuatayo.
1.Utatengenezewa Blog ya Blogger(blogspot) au Wordpress,Chaguo ni lako.
2.Tunakufanyia:design katika blog yako na kukuwekea muonekano wowote...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.