Kama kichwa cha habari hapo juu. Ninatafuta mbwa wa kufuga ndani.
German shepherd original wawe wadogo kama wanne.
Pia kama kuna Siberian husky or golden retriever.
Naomba uweke picha hapa na...
Wa kulima wenzangu mlionitangulia salamu kwenu....
Bado natafuta shamba Ruvu niliandika Uzi huu siku Fulani lkn si kupata mafanikio maisha magumu jamani nimeona nivumilie kwenye kilimo tuu
Namba...
Leo navuna samaki kwenye bwawa langu la samako chalinze muda huu huu.
Kwa wanaohitaji samaki kuanzia 5kg ntafanya delivery.
Bei 9000 per kg. Karibuni sana.
Mnaweza nicheki via +255688151545
Habari wanaJF
Kama nilivyoeleza. Nahitaji mchanga bora wa kufyatua tofali.
Mimi nipo moshi.
Nasikia mchanga wa bomang'ombe ni mzuri.
Naomba tujuzane bei kwa kila lori/trip. Nina uhitaji wa...
Nimelima shamba la Eka 2 lakini nilichokipanda ni cha Ekari moja
Nataka nimkatie mtu hyo Ekari moja iliyobaki
Shamba lipo Bagamoyo Mtoni pembeni ya mto Ruvu.
Shamba limesha andaliwa
PM tuongee...
Nauza simu aina ya HTC ONE MAX no 7 0928 01 yenye sifa zifuatazo
1. Aina ya simu: htc one max
2. Kioo: super lcd 3, 16 M multicolours
3. Saizi: 5.9 inches
4. Resolution: 1080x1920 pixel...
Nyumba yenye room 4 za kulala, vyumba 2 self, imezungushiwa ukuta na geti parking ya gari 3. Umbali kutoka morogoro road mpaka iliponyumba ni mita 800, inamaji na umeme. Bei 600000 kwa mwezi...
Wakuu nina pc yenye ram 2gb, intel core 2 duo 2.4ghz processor.
Nataka nikanunue video card ili nicheze game kama GTA 5.
Naomba ushauri maana mi sio mjuzi wa haya mambo, ninunue video card ipi?
Na...
Nyumba nzr mpya ya kisasa inauzwa IPO Tegeta Nyuma ya jengo la Kibo, mtaa mzuri sana na pamepimwa na hati IPO
Vyumba 3 vya kulala kimoja ni self na imezunguuzshiwa fence bei yake 155ml bei hii...
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza Natoa ushauri na msaada wa maswala ya Elimu juu ya Uandishi wa Proposal, Research na kazi zingine za kielimu kwa ngazi ya Certificate, Diploma, Degree na...
Tafadhali naomba kufahamu kama naweza kupata scanner au photocopier ya karatasi kubwa yenye upana kama wa mita 1 hivi yaani A1 katika mji wa Morogoro.
Thanks
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.