2GB RAM
16GB internal storage capacity
5.5 inches screen
Colour -black
2600 mAh Li-Ion
13 mp led flash back camera
5mp with led flash front camera
Ina warranty ya mwaka mmoja,imetumika miezi 4...
Habar zenu wana JF, Natafuta kiwanja kwa ajili ya kujenga nyumba vyumba 3,choo&bafu, jiko na dining na sitting pia kibaki na nafasi ya parking na garden. Kiwanja kiwe maeneo yoyote ya Dodoma au Mwanza
Hii mashine haijawahi tumika ni mpya...inaingia kuku 30 na ukawa grill(kuwachoma)
Inatumia gesi......
KwA mawasiliano 0715 591141 dar
Bei yake inauzwa 3,000,000/
Karibuni
Wakuu heshima zenu.Nyumba inapangishwa maeneo ya mbezi Msakuzi njia ya mpigi magohe.Ipo kwenye hatua za mwisho za ujenzi.Ina vyumba 3; dinning; sebule; jiko; master moja self na public toilet.Pia...
NYUMBA inauzwa ipo kinondoni B nyuma ya mahakama mtaa wa msisiri milioni 70.Maelewano yapo ina vyumba vitatu ndani na sebule na inamabanda ya uwani.Haina hati ila inakibali cha serikali za mitaa...
Nimeona niwakaribishe kwenye hii kampuni ya aina yake inayofanya biashara ya mtandao.
Mtanzania wa kawaida kabisa unakaribiahwa kwenye hii fursa. Waliowengi watakupa negatives kuhusu hii biashara...
Yard inapangishwa Kurasini, karibu kabisa na Bandarini. Ina eneo la sqm 3300. Bei ya kuanzia ni $ 7000kwa mwezi lakini tunaweza kuongea.
Tuwasiliane binafsi kwa maelezo zaidi.
Habari,
Ninatoa huduma ya kutafuta na kuandaa samaki wabichi na kutuma kwa walio mikoani, nipo Musoma. Kwa anaeitaji anicheki (inbox).
Wanakuja wakiwa wameganda.
Sato na Sangara wanapatikana...
Wadau, salaam?
Yawezekana umefungua kampuni au biashara yako au una mpango wa kufungua biashara na unahitaji kuifanya kitaalam yaani kila kitu kwa maana ya mifumo kuwa sawa sawa.
Mfano...
habari wadau..
natafuta mtaalamu wa kutengeneza biosand filter local.. au slow sand filter.
itakayoweza kutreat na kuzalisha lita 1000 per day.
wote mnakaribishwa mnaoweza..
Poleni na majukumu wana Jf kama nlivyosema hapo ju kwenye kichwa cha habari natafuta gari aina ya Noah na iwe na usajili wa namba c,d, mi nipo dar es salam
Natumain kupitia hapa Jf nitafanikiwa'...
Kama una replacement yake itafaa piah. Simu 0712687590
Replacement spark plugs for NGK B8HS-10:
Brand Model
AC Delco 41F
Accel 156
Autolite 4092
Autolite XS4092
Bosch...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.