Mkuu hivi square meter 600 ndo meter ngapi kwa ngapi?Kiwanja kinauzwa kinyerezi 600square meter kwa sh.15million,umbali kutoka barabara kuu ni nusu kilomita,karibuni sana tuwasiliane 0673269820.
umeishia kidato cha ngapi?Mkuu hivi square meter 600 ndo meter ngapi kwa ngapi?
Acha dharau kijana,sio kila ambaye yupo Jamiiforums kakata vidato.umeishia kidato cha ngapi?
Tafuta kipeuo cha pili cha........Mkuu hivi square meter 600 ndo meter ngapi kwa ngapi?
24.49 x 24.49Mkuu hivi square meter 600 ndo meter ngapi kwa ngapi?
Umesikitisha sana ndugu we ungetoa jibu tu kwamba hujui. Kwa mfano kikawa cha urefu wa 30m na upana 20m kkitakua ni 600sqms. Pia kikiwa na urefu wa 28m na upana ~21.43m kitakuwa tena na ~600sqm. Ungemuacha mwenye kiwanja ajibu kwa sababu ndo mwenye vipimo vya urefu na upana kingine kinaweza kiwe kama rula 60m urefu na 10m upana hapo inabidi ujenge fremu tu, am just kiddingumeishia kidato cha ngapi?
hiki mnakipiga mtungo mnachanga milion tatu tatuKitunda Magole(Kiwanja)
Kitunda Magole, near Mwanagati. Umeme na Maji hapo hapo. 23 X 22Miguu.
8.6Kms from Banana.
18.9Kms from Clock Tower.
Bei: 6.0M
Contact: 0715-240140
![]()
Mkuu, 23x22 unapiga mtungo?!! Kitabaki kiwanja kweli mkuu?hiki mnakipiga mtungo mnachanga milion tatu tatu
sasa si mradi ubaki town hata kama utajenga chumba sebule na choo si mbyaMkuu, 23x22 unapiga mtungo?!! Kitabaki kiwanja kweli mkuu?
Hahahahaa, kweli mkuu...Dodoma haendi mtu! Lakini price naona ni fair tu!sasa si mradi ubaki town hata kama utajenga chumba sebule na choo si mbya