Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

ina disc gb 200 ram 2gb dell 0715825530 nipo dar
0 Reactions
21 Replies
5K Views
naomba kwa anaejua ukulima wa uyoga nahitaji msaada kwa hili natamani sana ukulima wa zao la uyoga napenda iwe ajira yangu kupitia uyoga sababu huku nakotoka vijana wamejikita zaidi kwa ufugaji na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kiwanja kinauzwa kinyerezi 600square meter kwa sh.15million,umbali kutoka barabara kuu ni nusu kilomita,karibuni sana tuwasiliane 0673269820.
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Nauza Lumia ipo fresh haina shida kioo 4.7" bei 160000 maongezi kidogo yapo
0 Reactions
0 Replies
633 Views
Nahitaji printer HP LaserJet 1100...hata ikiwa used...
1 Reactions
4 Replies
769 Views
Habar wapendwa.nauza mikanda ya kupunguza tumbo ambayo ni ya mtumba.wiki moja tumbo halipo.imewasaidia watu weng sana hasa wamama waliotoka kujifungua.naleta popote ulipo.bei ni 25000.napatikana...
0 Reactions
7 Replies
8K Views
Natafuta meza ya Ofisini, iwe mpya au used sawa. Budget yangu haizidi 120,000/=. Nipo Dar. # 0684 14 14 76
0 Reactions
1 Replies
913 Views
Hallo. Natafuta CCTV Monitor yenye HDMI Port. Isiyozid 20 Inches.
0 Reactions
2 Replies
979 Views
Hjambo rafiki! Ninauza Jogoo wenye kilo kati ya 3.5-5 kg kwa shilingi 20,000 tu. Hawa ni kuku watam sana na wa kienyeji wenye asili ya Malawi, Ninapatikana Kimara Temboni mataa wa Saranga, waweza...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wakuu kuna MTU anauza water pump kwa Tsh. 200,000/= ameutumia mwezi mmoja na anauza kwa sababu anashida na fedha kwa dharura Inatumia. Petroleum Inch 2
0 Reactions
6 Replies
1K Views
[emoji419] UTANGULIZI [emoji117] Hivi unajua kwamba afya zetu zinategemea kabisa na hali zilivyo za utumbo wetu ??? Ngoja nikujuze sasa, Pindi mtu anapoamua kuishi maisha ambayo yanahatarisha...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Viwanja vilivyokatwa tayari na kutengwa mitaa vinauzwam hakuna dalali, vinapakana na Shule na zahanati ya Zingiziwa, vipo Barabarani kabisaa, kila kimoja ni 2.8, kwa wanunuzi wa uhakika karibu PM
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Ilipata mteja
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Poleni kwa majukumu wadau. Naomba kujua kampuni ambayo inatoa usafiri wa kukodi kwa magari ya abiria hasa coaster kwa mkataba kwa hapa Arusha na ofisi zao zilipo. Natanguliza shukrani.
0 Reactions
1 Replies
854 Views
VisitEarnings.com - Earn from Your Home & Office, Earning website for Students, Job-less people
0 Reactions
0 Replies
614 Views
Habari zenu wakuu? Natafuta fundi mzuri anayetengeneza viatu vya kiume original vya ngozi. Kwa mwenye contacts zake tuwasiliane kwa pm tafadhali. Mimi nipo dar.
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Ikopoa kabsa nauza kwa 150k tuu Npo dar Ram ina 1Gb Internal 8gb
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Monitor inauzwa bei 65000/= iko poa 0713844841 kunipa muhusika
0 Reactions
1 Replies
628 Views
Nahitaji soko la kuuza kuku wa nyama 300 kwa mwezi anelijuwa soko la uakika namuo anifollow whtsaap 0679365635
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Back
Top Bottom