Uko wapi180 tufanye buzness....
Teh teh teh,umenikumbusha nilipokuwa chuo kuna Jumamosi moja hivi nilitoka na classmate mwenzangu kwenda kupata moja moto moja baridi,sasa wakati tupo pale tushapiga Bia kama3 kila mmoja mara akaingia Jamaa aliekuwa anadaiwa na Mshkaji wangu alipomuona tuu akakumbushia deni lake jamaa hakuwa na hiana akaingia mfukoni akampa kilo mbili zake. Kilichotokea jamaa anamlaani mdeni wake mpaka kesho!Aisee,naona Laptop ipo counter ya Bar
Duhh ,ukiuza tu unaagiza lete kama tulivyooooooo
bei rahisi mkuu
Sasa Kama ulinunua mwenyewe Kariakoo ulipaswa ulijue!Kama ulipaswa ulipaswa uulize!!maana yake hizo ni second hand,used enzi hizo na hazitengenezwi tena!mostly Wasomali au wale wanaoishi maisha ya chini kule America an Ulaya wanaziokota na kuzifanyia matengenezo madogo madogo then zinaletwa kwenye nchi za Kimasikini!Mie nakuomba upunguze bei tafadhali kwa mwana JF mwenzetundio nini
kafie boko huko mi sijanunua mimi ninamfanyia mpango jamaa aiuze mpigie akupe full detail namba yake ni hiyo mimi ni conector tuSasa Kama ulinunua mwenyewe Kariakoo ulipaswa ulijue!Kama ulipaswa ulipaswa uulize!!maana yake hizo ni second hand,used enzi hizo na hazitengenezwi tena!mostly Wasomali au wale wanaoishi maisha ya chini kule America an Ulaya wanaziokota na kuzifanyia matengenezo madogo madogo then zinaletwa kwenye nchi za Kimasikini!Mie nakuomba upunguze bei tafadhali kwa mwana JF mwenzetu