Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

naitaji sim tank 5 lita 3000 na lita 5000 mwenye bei nzuri aje pm nipo dsm
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari wapendwa, Nahitaji tank la kuhifadhia maji ambalo ni "used". Liwe ni kuanzia 2000 litres na kuendelea. Nipo Dar es Salaam. Kama kuna mtu analo tafadhali naomba ani pm, please. Natanguliza...
0 Reactions
2 Replies
948 Views
Kwa mahitaji ya kurekebisha Computer...kama haiwaki au ipo slow,Ku install Windows xp,7,8,10 au Apple OS.Data Recovery za flash memory cards pamoja na Harddisk. Ofisi ipo kariakoo mtaa wa msimbazi..
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kama unayo ntumie picha whatsApp 0689315582 Iwe namba C au D Isiwe imewahi kunyooshwa au kupata ajali
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Kama kichwa kinavyojieleza ninahitaji hiyo gari iwe namba C ama D iwe kwenye hali nzuri.....bei uweke ya kweli sihitaji madalali
0 Reactions
0 Replies
750 Views
IPO DAR ES SALAAM Inachimba hadi mita 200 ila ninazo sticki za mita 150 tu. Inatumia diesel na ulaji wake mzuri kuliko mashine zote zingine Inachimba hadi mita 100 kwa lita 50 BEI 65,000,000 kwa...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Condition:brand new Price:both 130,000Tsh only
0 Reactions
4 Replies
6K Views
Arctic sea imetokana na mafuta ya samaki anayepatikana kwenye kina kirefu cha bahari ya Arctic anayetoa Omega 3 (750mg) na mafuta ya mizaituni inayotoa Omega 9 (250mg). FAIDA: 01. Husaidia...
0 Reactions
0 Replies
739 Views
*Mabadiliko yanayokuathiri wewe mwajiriwa na Ajira yako* *FACTS* Kwa Tanzania sasa hivi kupoteza kazi yako ni rahisi sana. Unaweza kwenda kazini leo ukakuta umefukuzwa. Teknolojia inabadilisha...
0 Reactions
0 Replies
729 Views
Ndugu zangu Natumaini mu wazima wa afya .natafuta Gari tajwa hapo juu iwe katika Hali nzuri ,iwe Dar ,tuwasiliane please kama unajua mtu anayo let's me know please ,have a wonderful day you guys.
0 Reactions
2 Replies
729 Views
NAUZA SAMSANG GALAXY NOTE 7 TSH ELFU 50 TUU NA FIRE EXTINGUISHER MAZUNGUMZO YAPO
4 Reactions
3 Replies
748 Views
Namtafuta mtu au kampun ya kunisaidia kuagiza kitu ninachokuwa nimeona online kama ebay au amazon. Kuwepo na mazingira rafik kuwa sitapoteza pesa yangu. Maana kuna vitu nahitaj na mbaya zaidi...
1 Reactions
6 Replies
985 Views
Protector za kioo kwa jumal 3500/= J8 C8 L8 C5 H5 Y3+ J7 J5 Samsung n.k 0653551607
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Kama unamjua mwalimu wa masomo haya au unayafundisha vizuri, nitumie cv yako. Kazi ipo Dar na Pwani. resbijura@yahoo.com
0 Reactions
1 Replies
831 Views
*Coyesa company limited* [emoji117]Tunachora ramani za nyumba, makanisa, ukumbi, sheli, shule, vyuo, hostel, n.k [emoji117]Ujenzi kama Wakandarasi. [emoji117]Ukadiriaji Ujenzi (Cost...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Heshima kwenu wadau, Ninahitaji 2 tires za 10 Inches na 2 inner tubes za 10 Inches. Nahihitaji kwa ajili ya mountain buggy stroller. Kwa aliye nazo au anajua wapi kwa kuzipata tafadhali anijuze...
0 Reactions
1 Replies
660 Views
Nauza kiwanja changu Iringa kipo eneo la Mawelewele, kina ukubwa wa ekari moja, hati zote zipo. Bei milioni kumi na tano(15mil) kipo karibu na barabara kuu mita 150 kutoka barabara kuu na km 14...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
True Ink Associates would like to announce that CISA (Certified Information Systems Auditor) Review Classes is scheduled to commence on Monday 25/07/2016, Dar Es Salaam City Center, Raha Tower...
0 Reactions
41 Replies
3K Views
Kwa wanaohitaji simu mpya na hii inaweza kuwa fursa na pia inaweza kusaidia kubana matumizi. Hii ni kwamba ukinunua TECNO N2 wanakupa muda wa maongezi wa 10,000 na GB2 za intaneti utakuwa unapewa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Back
Top Bottom