Nahitaji Tank la maji

queen_

New Member
Jun 23, 2016
2
1
Habari wapendwa, Nahitaji tank la kuhifadhia maji ambalo ni "used". Liwe ni kuanzia 2000 litres na kuendelea. Nipo Dar es Salaam. Kama kuna mtu analo tafadhali naomba ani pm, please. Natanguliza shukrani
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom