Tafadhali
Ni-PM namba yako tujadili namna kuikimbiza hii dili ndugu.
Duu! nilighafirika.Aku-pm namba yake wakati kaweka hapo?
Wewe umeiagiza kwa Tshs ngapi mpaka imefika hapa na kodi zote??IPO DAR ES SALAAM Inachimba hadi mita 200 ila ninazo sticki za mita 150 tu. Inatumia diesel na ulaji wake mzuri kuliko mashine zote zingine
Inachimba hadi mita 100 kwa lita 50 BEI 65,000,000 kwa mawasiliano 0712690760
Si-kweli nimekupigia Mara mbili.Sijapigiwa namtu Yoyote Simu kusu mashine namba yangu ni 0712690760
Wewe umeiagiza kwa Tshs ngapi mpaka imefika hapa na kodi zote??