Kiwanja kinauzwa Iringa

Ficus

JF-Expert Member
Jul 14, 2013
1,438
1,119
Nauza kiwanja changu Iringa kipo eneo la Mawelewele, kina ukubwa wa ekari moja, hati zote zipo.
Bei milioni kumi na tano(15mil) kipo karibu na barabara kuu mita 150 kutoka barabara kuu na km 14. kutoka Iringa mjini.

Karibuni.
 
Karibuni wadau eneo lipo kwenye miradi ya maendeleo.
 
Nauza kiwanja changu Iringa kipo eneo la Mawelewele, kina ukubwa wa ekari moja, hati zote zipo.
Bei milioni kumi na tano(15mil) kipo karibu na barabara kuu mita 150 kutoka barabara kuu na km 14. kutoka Iringa mjini.

Karibuni.

Duh kumbe Iringa pia viwanja ni bei?
 
Sio gharama sana inategemea na ukubwa wa eneo na mahali lilipo Changamoto2015
 
Last edited by a moderator:
Hivi "kiwanja" na "uwanja" tofauti yake ni nini?
haya maneno huwa yananipa mtihani sana katika kuyatumia,wajuvi mtujuze,kwani kuuliza naamini si ujinga.
 
Kimsingi hayana tofauti yeyote katika matumizi yote yana maana sawa,sidhani kama yana maana tofauti labda BAKITA watusaidie katika hili mkuu LUBEDE
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom