Chanika Mjini(Videte)
50Ft X 50Ft,
Bei: 5.0M.
Maongezi yapo.
Waweza Lipia kwa Awamu Mbili.
Umeme na Maji hapo hapo.
0.6Kms kutoka Barabara ya Lami.
1.7Kms toka Chanika Stand.
Pamepimwa...
Product Highlights
MODEL: 40H5003
Multi-System Compatible
Full HD 1920 x 1080 LED Panel
Clear Motion Rate 120 Technology
Wide Color Enhancer Plus
Samsung ConnectShare Movie
Soccer Sound and...
Natafuta fundi anaekata worktop/mable na kuweka sink,cooker(plates) jikoni. Worktop zipo nahitaji aje akate na kufanya fitting tu.
Fundi anaeweza hii kazi anipe aje pm.
Wapendwa wana JF naomba muongozo wenu.natafuta soko au wateja wa jumla wa nta na asali.nitafurahi zaidi nikipata wateja wanaoexport kwa ajili ya bei nzuri.kwa yeyote anayejua vizuri kuhusu hili...
Wakuu karibuni nauza mchele super kabisa kutoka mbeya kyela,kwa bei ya tsh 2000/kg na tsh 2200/kg nakuletea popote ndani ya dar kuanzia kg 50.
Napatikana msasani karibu na msaani shopping mall or...
Gari tajwa hapo juu inauzwa, sababu za kuuza ni mabadiliko tu ya mfumo wa maisha, haina shida yeyote..
Year of manufacturing: 2002
Imported: 2012
ODO: 110,000+ chache
Transmission: Manual...
(FENICHA ZOTE ZIMESHAUZWA)
Habari wana Jf
Fenicha zifuatazo za ofisi zinauzwa kwa bei rahisi kabisa. Zimetumika kwa muda usiozidi miezi 8 tu
1. Meza ya kichina (imported, executive table) kubwa ya...
Wakuu, Vunja bei hapa nabwaga HTC desire eye yenye camera safi, flash mbele na nyuma , 4G Lte network na kioo kipana kwa bei pouwa sana ya 450k (pungufu unaongea)
Simu ipo full na vifaa vyake...
I'm giving you a free ride on the Uber app (up to TZS9,000). To accept, use code 'gerryj209ue' to sign up. Enjoy! Details: https://www.uber.com/invite/gerryj209ue
Natafuta Soldering Machine na vifaa vyake, mchine hii ni ile inayotumiwa na mafundi simu katika kuchomelea vifaa vya umeme(angalia mfano wa picha).
Mhitaji yupo Dar
Iwe mpya au used(kwenye hali...
Simu tajwa hapo juu inauzwa ina wiki tatu tangu inunuliwe, ina kila kitu chake rist ya kununulia, warrant yani ni fuul box bei ni laki 320k kwa anaehitaji pm au nipigie 0625655771 anytime tufanye...
NI AUTOMATIC,INATUMIA PETROL,TON 1 NA NUSU,IMETEMBEA KM 150,000
VIBALI VYOTE VIKO VALID....
BEI YA KUUZA NI 9,000,000/
GARI NI NZIMA KUPITA MAELEZO
KWA MAWASILIANO 0715591141 DSM...
Nahitaji mkopo wa haraka wa Tsh mil 3, riba na utaratibu wa marejesho ni makubaliano yangu na mkopeshaji. Dhamana naweka gari yangu yenye usajili namba D. Napatikana Dar es Salaam.
Kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.