Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Waheshimiwa naomba mwongozo nataka kununua machine ya kutengeneza bisi hivyo nataka kujua √Changamoto zake √Faida yake √ Maintenance yake ikoje Naomba msaada
0 Reactions
0 Replies
2K Views
CCTV camera Complete set-2 indoor 2 outdoor,18 m cable 4 pcs,DVR 4 channel,Adapters and 1 TB hard drive for only Tsh 650,000/-
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kuna kiwanja kinauzwa kipo Mbezi Msakuzi, mazingira ni tambarare, umeme na maji ya Uhakika na yapo. Urefu 40 * 20 40*16 Bei poa kulingana na hali ilivyo ya maisha Mil. 9 Mawasiliano...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Nauza Samsung Galaxy A5 clean.. No single scratch.. One week used.. Natoa simu tuu sitoi accessories ingine... Bei 400,000.. Seriously buyers contact me 0625690081
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Nina kiwanja changu kiko Mwanza Nyegezi,malimbe nyuma kidogo ya St.Augustine Univerisity kina 20*30 mtrs kimepimwa ila sijafuatilia hati.Any serious buyer anaweza kuni inbox au kunipigia kwa 0752...
0 Reactions
1 Replies
694 Views
Habarini za Muda huu wana JF. Kwa majina naitwa Hamis Mushi. Mkazi wa Moshi Mkoani kilimanjaro Tanzania. Napenda kuuandika uzi hui kwa suala la kushirikishana biashara ya mtandao ambayo ina...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Specifications Hdd 320 Ram 4gb Processor Intel Co i3 Bei : 250000 Call: 0674 553 553
0 Reactions
2 Replies
717 Views
Nyumba kubwa yenye vyumba 2 vya kulala inauzwa Mbezi Luis,kimoja ni master na kimoja ni cha kawaida,ina sitting room,dinning,jiko,choo na bafu ndani,pia ina garage ya gari iliounganika na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu wa nchi habari za mihangaiko .Tuna machine za kuchimba visima vya maji .tunatumia machine za kisasa kwa anayehitaji huduma hii please tuwasiliane please.
0 Reactions
1 Replies
742 Views
Sim tangia inunuliwe haijatumika sana Iko ktk halo nzuri sana Bei ya kuuza ni 480,000/ Kwa mawasiliano zaidi piga Simi kupitia # 0715591141...dam
1 Reactions
15 Replies
1K Views
TANGAZO “Jukwaa la Mwangaza kwa Vijana” (Youth Enlightment Forum-YEF) linawakaribisha vijana wote wanaopenda kujiunga na harakati ya kudai Katiba Mpya. Jukwaa litaandaa ziara kwenda mikoa...
0 Reactions
2 Replies
698 Views
Pata taarifa zote kuhusu Mh Edward Lowassa popote atakapotajwa kupitia application ya Android kwenye simu yako ya mkononi. ‪#‎MaamuziNaMatumainiMapya&#8236...
1 Reactions
26 Replies
5K Views
Habari zenu waungwana. Napenda kuwajulisha wote kuwa ninatoa Masada wa Kutafsiri NDOTO. Nb : Sina uhusiano na uganga wa kienyeji.
0 Reactions
31 Replies
2K Views
JE WEWE UNATOA HARUFU MBAYA SANA MDOMONI MWAKO AU UNAMFAHAMU MTU MWENYE MATATIZO YA MENO. USISUBILI MPAKA TATIZO LIWE KUBWA FOREVER BRIGHT TOOTHGEL the best product kwaajili yameno na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wana JF, Napendaa kuwataarifu watu wote ofisi yangu(netset co.ltd) inatoa huduma za web to mobile sms (professional sms). Huduma hii itakuwezesha wewe mmiliki wa biashara yako kuwafikia...
0 Reactions
0 Replies
578 Views
Viwanja vinauzwa maeneo ya Bagamoyo-Kingani,vipo vingi na vinapatikana kwa bei nafuu kabisa. kama wahitaji mcheki huyu mtu kwa; Bei ni tshs.10000 kwa square meter 1. simu namba 0754913664
0 Reactions
2 Replies
5K Views
ni ya mtumba bei ni sh 20000 tunapatikana karume piga namba 0712288700
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Sina dhamana inayoweza kunifanya nichukue mkopo kwenye bank, ila naweza jidhamini kwa mtu binafsi au microfinance ndogo ndogo za mtaani.Alie tayari kwa iwe mtu binanfsi au taasisi ndogo ndogo za...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wakuu habari za j'tatu! Kiwanja kinauzwa kina ukubwa wa hatua za za miguu upana 19 urefu 20 bei ni mil 5 kipo Barbara ya kwenda madale kwa kawawa kilomita 1 kutoka kiwanda cha saruji cha...
0 Reactions
0 Replies
779 Views
GARI YA MWAKA 2000 KM 52000 4 CYLINDER BEI 15.5 MLN Vibali vyote viko safi..... Wanunuzi walivyo serious tuwasiliane kupitia # 0715591141...dsm
1 Reactions
16 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…