Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Habari zenu wakuu, Kwa taaluma ni mhitimu stashahada ya uhandisi Majengo na barabara toka taasisi ya teknolojia Dar es salaam (DIT) Nimejiajiri katika sekta ya ujenzi Wa Nyumba za makazi na...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Natafuta kiwanja chenye hati maeneo ya kigamboni, kibamba, bunju , boko,kimara. nina 12 mil
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Nahitaji Aina ya gari tajwa hapo juu sio ya kuimport from Japan nataka ambayo imeshatembea hapa TZ. Kama una details nipe picha pamoja na bei.
0 Reactions
5 Replies
6K Views
Wanajamii habarini, Natafuta mtu anayeuza king'amuzi cha AZAM kilichotumika (Used) Mwenye nacho aje inbox please.
0 Reactions
0 Replies
620 Views
True Ink Associates itaandaa CISA Mock Exam itakayofanyika siku ya Jumamosi tarehe 28/05/2016 kuanzia saa 4 asbh hadi saa 8 mchana. Hii ni kwa ajili ya kuwaandaa watahiniwa wanaohitaji kufanya...
0 Reactions
29 Replies
3K Views
Nlitaka kufuta thread ila nkashindwa
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Gas Chicken Rotisserie Grill with Electric Rotating Power Power: 7.5KW Voltage: 220V Mashine inatumia gesi ku hoka kuku na umeme kwa ajili ya kuzungusha machine. Dar es salaam 1,000,000/=...
1 Reactions
0 Replies
694 Views
Kibanda cha chuma, chenye cover lake kwa juu la kufunika. liko vizuri na halina tatizo lolote. Ubungo Dar es salaam. Price 350,000/= 0717107775
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Trademill for walking/jogging. Its a digital machine with touch display. Comes with user manual. It's been used about 10 times. Machine ya kufanyia mazoezi. Kutembea na kukimbia. Machine ya kisasa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Did you Aloe today? Aloe vera gel ni kinywaji cha asili ambacho kimetengenezwa na mmea wa aloe vera kina virutubisho vyote ambavyo mwili unahitaji kila siku Weekend watu tumekula vyakula...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mganga halisi na wa ukweli, anahitajika haraka iwezekanavyo
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Afya ni maisha na maisha ni afya, je unasumbuliwa na moja ya yafuatayo au baafhi ndugu..., # Kisukari. # Pressure. # Vitonda vya tumbo. Umeangaika usipate suluhisho kwayo, kampuni yako ya...
0 Reactions
0 Replies
752 Views
Jaman nina sida na mkopo wa 300m. Benk gani wanaweza kunipatia kwa muda mfupi ni boost mradi wangu Jaman.
1 Reactions
21 Replies
3K Views
Habari zenu laptop used hp inauza sh.300000 niko Morogoro cm no 0769322746
0 Reactions
0 Replies
504 Views
Nina kilo 300 za Samaki Perege kilo moja sh 6000 mazungumzo yapo. Kama uko serious tuwasiliane kwa 0754 828722
0 Reactions
4 Replies
2K Views
nitapata wapi vifaranga vya kenbro? na kwa bei gani?
0 Reactions
2 Replies
859 Views
natafuta mwalimu wa kubadishana kama anafanya kazi kanda ya ziwa, aje kigoma.... pm 0656 219778
0 Reactions
0 Replies
410 Views
Wakuu natafuta nyumba au apartment ya 3 bedrooms. Iwe na Ac. Maeneo ya mikocheni A isivuke TMJ hospital kuelekea kawe, msasani, masaki, oysterbay. Note isiwe maeneo ya 'uswahilini'. Inbox pamoja...
0 Reactions
0 Replies
847 Views
NAONA LEO HALI YA NJIA YA KWENDA GONGO LA MBOTO IKO SHWARI HAKUNA MAHONI HONI HAKUNA FOLENI YYT MATRAFFC WANAFANYA KAZ ZAO KWA RAHA KIUKWELII HALI IKO KAMA CU ZTE HAKUNA MATATIZO ILA MH MTV C WATU...
0 Reactions
0 Replies
654 Views
Habari za saa hizi wadau? Niliona nijishughulishe na kilimo cha mahindi nimelima sehemu, nguruwe pori wakala mahindi yote sasa nimeona kuliko nigombane nao napaswa kuwatumia kama fursa...
7 Reactions
60 Replies
7K Views
Back
Top Bottom