stephot
JF-Expert Member
- Mar 1, 2012
- 17,745
- 27,223
Nyumba kubwa yenye vyumba 2 vya kulala inauzwa Mbezi Luis,kimoja ni master na kimoja ni cha kawaida,ina sitting room,dinning,jiko,choo na bafu ndani,pia ina garage ya gari iliounganika na nyumba.Upande wa nyuma kuna vyumba 2,kimoja kina sitting room,chumba cha kulala ,choo na bafu,na kimoja kipo chenyewe kinajitegemea.Pia kuna mabanda 3 makubwa ya kufugia.Bei ni mil.110 maongezi yapo.Kwa mawasiliano piga 0655880429.
Attachments
-
IMG-20161107-WA0015.jpg82.3 KB · Views: 59 -
IMG-20161107-WA0016.jpg122.5 KB · Views: 59 -
IMG-20161107-WA0017.jpg109.7 KB · Views: 55 -
IMG-20161107-WA0018.jpg148.3 KB · Views: 55 -
IMG-20161107-WA0019.jpg102.2 KB · Views: 49 -
IMG-20161107-WA0020.jpg149.8 KB · Views: 51 -
IMG-20161107-WA0022.jpg153.9 KB · Views: 47 -
IMG-20161107-WA0023.jpg131.6 KB · Views: 44 -
IMG-20161107-WA0025.jpg75.5 KB · Views: 46