Jiunge na biashara ya mtandao ya 4corners alliance group

Hamis Mushi.

Member
Jan 16, 2016
53
38
Habarini za Muda huu wana JF.

Kwa majina naitwa Hamis Mushi. Mkazi wa Moshi Mkoani kilimanjaro Tanzania.

Napenda kuuandika uzi hui kwa suala la kushirikishana biashara ya mtandao ambayo ina julikana kwa jina la 4corners alliance group, biashara hii imeanzia huko Marekani mnamo mwaka 2012, na kwa sasa imeenea takribani nchi 100 duniani.

Biashara hii inahusisha uuzaji ya e-books na e-magazines yaaani vitabu vya mtandaoni na majarida pia, vitabu na majarida haya yanahusu moja kwa moja suala la utoaji wa elimu na namna ya kuimprove financial systems, naaminisha elimu ya kibiashara.

Hii ni Network Marketing system, na inakuhakikishia faida mara dufu.

Vinavyo hitajika ni kujiunga kwa dola 18 ($18) au 40,000/= kwa mara moja tu, na haita hitaji kujiunga tena maisha yako yote.

Vile vile unaweza ifanya kwa namna mbili kwa kuwauzia watu e-books, au kwa kuwaunga watu nao wawe team yako.

Kwa maelezo zaidi naomba unitext kupotia mawasiliano haya yafuatayo ili niweze kukamilisha utekelezaji.

Mawasiliano yangu ni;
Whatsapp: +255716231265.
Calls: +255743550517.
E-mail: mushi.hamis@yahoo.com
G-mail: mushihamis@gmail.com.
Asante sana, naomba unitafute nipate kukuelewesha zaidi.
 
Attachments

  • Millionaires This Year.jpg
    Millionaires This Year.jpg
    36.9 KB · Views: 57

Mkuu, nashauri kuwa ungetoa maelezo ya kina kuhusu hiyo biashara hapa hapa jamvini, hii itasaidia kwani watu watasoma maelezo hayo na kuamua kukutafuta au laah. Na kama wakikutafuta hutakuwa na kazi kubwa sana ya kutoa maelezo marefu, bali ni clarification kidogo zaidi na maelekezo ya kitu gani cha kufanya kama wanahitaji kujiunga. Si rahisi sana kwa mtu kuchukua contacts zako aanze kukutafuta kwa kitu ambacho umeelezea too brief; Ni ushauri tuu mkuu lakini, kwa nia njema kabisa. Hamis Mushi.
 
Sawa sawa Dr, nimekuelewa, naomba kuielezea kama ifuatavyo..;-
4corners alliance group ni kampuni inayo tokana na kampuni mama ya Cornerstone LLC iliyopo Las Vegas Marekani, iliyo anzishwa mwaka 2012 na Bwana David Harrison.
Kampuni hii imejikita katika kutoa elimu ya ujasiriamali , uchumi, fedha, uwekezaji na biashara kwa kutumia bidhaa kuu mbili:-
1: Vitabu vya mtandaoni (e-books)
2: Jarida la kila mwezi la mtandaoni (e-newsletter).
Bidhaa ya vitabu imegawanyika katika. Sehemu sita, ambavyo hununuliwa kadiri biashara inavyo songa. Kwakua 4corners ni biashara ya mtandao, unaweza kujenga team ya watu watakao angukia kwenye vizazi (levels) vyako tofauti tofauti.
Level 1; inahusika na watu wa nne tu (4).
Level 2; inahusika na watu 16 tu.
Level 3; inahusika na watu 64 tu.
Level 4; inahusika na watu 256 tu.
Level 5; inahusika na watu 1024 tu.
Level 6; inahusika na watu 4096 tu, hivyo basi kwa kila ngazi hapo juu ina seti yake ya vitabu na dhima tofauti n bei tofauti.
Level 1; ni 21700/=
Level 2; ni 21700/=
Level 3; ni 54250/=
Level 4; ni 130,200/=
Level 5; ni 325,500/=
Level 6; ni 651,000/=
Unaweza kuvinunua vitabu vyote hivi kwa hela yako keshi mwenyewe ukajisomea mwenyewe na ukaawapa pia watu wengine elimu, Lakini ukiwa katika Kampuni hii, utakua na njia rahisi ya kuvinunua bila kutumia fedha yako ila kwa kutumia team yako ulio itengeneza chini yako, na pia ujengaji wa team faida ni kubwa sana kwa kupata vitabu bila kununua na kupata kipato thabiti.
Sasa basi hapa ndipo unakuja mpango wa kuunda team ili kujenga kipato cha kukuweezesha kununua vitabu zaidi na kujipatia kiipato zaidi kikubwa kabisa.
INAFANYAJE KAZI?
Iko kama ifuatavyo, unapo jiunga tu kwa Tshs 40,000/= , Tshs 17360/= ya fedha ulijiungia ni ya usajili katika kampuni na kiasi cha Tshs 21700/= ilio baki ni ya manunuzi ya vitabu hivyo vya level 1. Sasa basi unapo jenga team hiki ndicho kinacho kinacho tokea kati yako na kampuni na team yako pia;
Watu walioko level 1 wakinunua level 1 (wakati wa kujiunga) kwa Tshs 21700/= , utalipwa jumla Tshs 8680/= mara 4 ambayo ni sawa na Tshs= 34720/=,, na mdhamini wako atalipwa Tshs 34720/= pia ni sawa na bonus 100%.
4340/= mara 4 = Tshs 17360/= hii inabakia kwa kampuni kama faida yake.
Watu walioko level ya pili, wakininua level ya pili kwa Tshs 21700/=, utalipwa jumla ya Tshs 8680/= mara 16 jumla yake ni Tshs 138880/= kama faida yako kutoka kwa watu 16. Na mdhamini wako atalipwa Tshs 138880/= bonus 100%.
Watu walioko level ya 3, wakinunua level ya3 kwa Tshs 54250/=, utalipwa jumla ya Tshs 2170/= mara 64, jumla yake ni Tshs 1,388,800/= hio ni fedha utakayo pokea kama faida kutoka kwa watu 64. Mdhamini wako nae atapewa Tshs 1,388,800/= bonus ya 100%.
Watu walioko level 4, wakinunua level 4 kwa Tshs 130200/=, utalipwa jumla ya Tshs 52000/= mara 256 jumla yake ni 13,332,400/= hio ni faida itakayo ipata kutoka kwa watu 256 walioko chini yako.
Watu wa level 5, wakinunua level 5, kwa Tshs 325500/= , utalipwa jumla ya Tshs 130200/= mara 1024 jumla yake ni Tshs 133,324,800/= kama faida utakayo ipata kutoka kwa watu 1024, walioko chini yako.
Watu walioko level 6, wakinunua level 6 kwa Tshs 651,000/=, utalipwa jumla ya Tshs 260,400/= mara 4096 jumla yake ni Tshs 1066,598,400/= kama faida kutoka kwa watu 4096 walioko chini yako.
Nadhani hadi hapo japo kwa ufupi tupo pamoja.
UKUMBUKE KUWA HELA YOTE HIYO ITATOKANA NA MALIPO UNAYOPATA KWA KUJENGA TIMU YAKO NA SIO MFUKONI MWAKO, fedha utakayo tumia wewe ni ile ya kujiunga Tshs 40,000/= tena utaitoa mara moja tu. Kitakacho kua kinafuata ni wewe kuunga watu na kuwauzia watu vitabu.
Kikubwa zaidi ni bonus ya 100% hii hutolewa kwa kila mtu ulie muunganisha chini yako moja kwa moja.
Baada ya wale nne tulio waona walioingizwa mwanzo, kila utakae muingiza mpya atakupatia Tshs 8680/= kwa kila mmoja kama utakua umeingiza watu 20, utazidisha 8680//= mara 20, nakiasi utakacho pata ni faida yako.
Mfano mwingine, ukiwa una watu 20 na kila mmoja akawa amelipwa Tshs 108500/= ina maana wewe utalipwa 108500/= mara 20 ambayo ni sawa na Tshs 2,170,000/= papo hapo.
.. SIO UTANI NI KWELI...
Vitu muhimu;
1; Haina kikomo cha uwanachama.
2; Haina kukimbiza na deadlines. Kila mtu anafanya kwa starehe zake. Spidi yako ndio itakua mafanikio yako.
3: Bidhaa inajuiza yenyewe.
4: Hakuna kutoa hela nyingine mfukoni mwako baada ya kujiunga na Tshs 40,000/=.
Tugeukie upande wa JARIDA;
(e-newsletter)
Hili jarida hutoka kila mwezi na gharama yake ni 64991.5/= Tshs. Katika jarida hili ya kuzingatia ni haya:-
1: Sio lazima kulinunua.
2: Hauta lipwa faida yake kama haulinunui.
3: Pindi utakapo kua level ya nne, unashauriwa uwe unalichukua na utapata faida yake.
4: Fedha yake ya manunuzi wakati utakapo kuaalevel ya 4, itakua inakatwa kutoka kwenye team yako. Na faida yake utaipata kulingana na idadi ya watu ulio nao.
Kwa kila anae lichukua jarida hili atakua analipwa ifuatavyo:-
Level 1; 2170/= mara 4= Tshs 8680/= ndio faida utakayo ipata kutoka kwenye jarida.
Level 2: 2170/= mara 16 = Tshs 34720/=
Level 3: 2170/= mara 64 = Tshs 138,880/=
Level 4: 2170/= mara 256= Tshs 555,5520/=
Level 5: 2170/= mara 1024 = Tshs 4,444,160/=
Level 6: 2170/= mara 4096= Tshs 17,776,640/=.
Hii ni faida utakayo ipata kwa kila mwezi utakapo kua uannunua hili JARIDA.
MNALIPWAJE???
Unapo jiunga unapewa office yako ya mtandaoni (BACKOFFICE) ambayo utaitumia kuangalia maendeleo yako, ya team yako, mapato yako na kutoa fedha zako. Pia vitabu ulivyo kwisha kuvilipia unaweza kuvi download (kuvipakua) na kuvisoma pia na kuwapatia kwa kuwauzia watu wengine.
Maombi ya kutoa hela yana fanyika J2, J3, na J4, na malipo ya faida yanafanyika J4.
Njia za kutumia kutolea au kufanya malipo ni kupitia VISA au MASTERCARD yako ya BENK yako, na unaweza kutoa kupitia hapa hapa ATM za kwetu au katika ACCOUNT yako ya BENK, inatumika VISA au MASTERCARD kwa sababu hujilikana kimataifa.
MMANA ANZAAJE KUFANYA KAZI??
Vinavyo hitajika ilikazi ifanyike ni:-
1; Tshs 40,000/= ( au $18).
2: Email uwe nayo, ( isiwe ya Yahoo au AOL).
3: Link au jina la mdamini wako, namaanisha jina la mwanachama wa 4corners alie kupa taarifa za hii biashara ( Hamis Mushi)..

Kwa taarifa hii fupi, naomba tuweze kuwasiliana kupitia whatsap:
Mawasiliano yangu ni:-
(1) whatsap +255716231265.
(2) email:- mushihamis@gmail.com
KWA HESHIMA NA TAADHIMA NAPENDA KUSEMA KARIBUNI SANA.
 
Attachments

  • InstagramCapture_62fc9039-bcdb-41e7-bacc-950f03cd6cb8.jpg
    InstagramCapture_62fc9039-bcdb-41e7-bacc-950f03cd6cb8.jpg
    34.6 KB · Views: 46
Habarini za Muda huu wana JF.

Kwa majina naitwa Hamis Mushi. Mkazi wa Moshi Mkoani kilimanjaro Tanzania.

Napenda kuuandika uzi hui kwa suala la kushirikishana biashara ya mtandao ambayo ina julikana kwa jina la 4corners alliance group, biashara hii imeanzia huko Marekani mnamo mwaka 2012, na kwa sasa imeenea takribani nchi 100 duniani.

Biashara hii inahusisha uuzaji ya e-books na e-magazines yaaani vitabu vya mtandaoni na majarida pia, vitabu na majarida haya yanahusu moja kwa moja suala la utoaji wa elimu na namna ya kuimprove financial systems, naaminisha elimu ya kibiashara.

Hii ni Network Marketing system, na inakuhakikishia faida mara dufu.

Vinavyo hitajika ni kujiunga kwa dola 18 ($18) au 40,000/= kwa mara moja tu, na haita hitaji kujiunga tena maisha yako yote.

Vile vile unaweza ifanya kwa namna mbili kwa kuwauzia watu e-books, au kwa kuwaunga watu nao wawe team yako.

Kwa maelezo zaidi naomba unitext kupotia mawasiliano haya yafuatayo ili niweze kukamilisha utekelezaji.

Mawasiliano yangu ni;
Whatsapp: +255716231265.
Calls: +255743550517.
E-mail: mushi.hamis@yahoo.com
G-mail: mushihamis@gmail.com.
Asante sana, naomba unitafute nipate kukuelewesha zaidi.
HAMIS MUSHI KATAFUTE BIASHARA ZINGINE ZA KUFANYA NDUGU YANGU, UUZWAJI WA VITABU ONLINE HAUPO TENA KWA SOKO LETU LA TANZANIA AMBAPO WANAFUNZI ALMOST 80% WAMEKOSA MKOPO WA HESLB...KAKA NJAA NI KALI, LAKINI PIGANIA UPANDE WA PILI WA MAISHA LABDA UTATOKA...
 
Hii biashara tayari kabisa naiona imeshafeli yani mbongo uongelee swala kitabu?"UKITAKA KUMFICHA MWAFRICA WEKA IJUMBE KWENYE VITABU"
 
Back
Top Bottom