Mkopo unahitajika morogoro

Mkopo unahitajika morogoro

Likambaku

Senior Member
Joined
Mar 23, 2015
Posts
177
Reaction score
134
Sina dhamana inayoweza kunifanya nichukue mkopo kwenye bank, ila naweza jidhamini kwa mtu binafsi au microfinance ndogo ndogo za mtaani.Alie tayari kwa iwe mtu binanfsi au taasisi ndogo ndogo za mikopo zilizopo morogoro ani PM mawasiliano yake nimtafute.
 
Kwa uletaji huo wa tangazo sahau kupata mkopo kwa mtu anaejielewa, hausemi unata ka kufanya kitu gani, biashara, kilimo, ufugaji au una dharura, hausemi unataka kiasi gani na utarudisha kwa muda gani, hausemi hivyo vitu unavyosema dhamana viko wapi na ni vitu gani? Weka bandiko lako vizuri kijasiriamali mkuu.
 
Asante kwa ushauri mkuu
 
Asante kwa ushauri mkuu

Ubarikiwe kiongozi, unaweza kuweka tatizo lako hapa ukajikuta kumbe ungeweza kunufaika kwa njia moja ama nyingine na solution yake sio mkopo. Pangilia maneno na jitahidi kuwa na uwezo wa kuliuza wazo lako... mkuu.
Sometimes very complex problems have very simple solutions
 
Asante naomba niku Pm kiongozi naamini naweza pata ushauri zaidi
 
Back
Top Bottom