Habar. .
Nahtaji Graphic design anayejitegemea asiwe ameajiriwa afanye kazi za kampuni yangu ya Entertainment.....kama tutaelewana atakuwa ndani ya kampuni. .. Awe updated na m bunifu" kazi kubwa...
Habari zenu wana jamvi.
Rejea kichwa cha habari hapo juu shida yangu ni kwamba natafuta kitabu cha hapo pichani kama wewe mkazi wa Dar Es Salaam unaweza kunitajia sehemu wanayouza hiki kitabu...
Heri ya Mwaka Mpya 2016, WanaJF
Tafadhali naomba mnielekeze Fundi Bingwa Wa Gari za Aina ya Nissan Xtrail. Nipo Dar es Salaam
Tafadhali naomba mniwekee hapa Namba zao Tafadhali. Nitawashukuru Sana.
Sabakheri wadau natafuta soko la sungura weupe na weusi ninao 527.
wapo morogoro mjini.
bei maelewano kama unalifahamu soko nijuze hapa au kwa simu 0674128230
Habari za jioni wana JF,
Naomba msaada wa watu wa Arusha au uishie nje ya Arusha natafuta mawasiliano ya watu wa Redio za Arusha mfano Sun rise na Triple A Nina shida nao sana ninaomba msaada wa...
Habari za leo?
Nahitaji kununua hard disc mpya au iliyo kwenye hali nzuri iwe na uwezo si chini ya GB300.
Mwenye nayo tuwasiliane,nipo Arusha.Mawasiliano 0752489529
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.