Ninatafsiri ndoto kwa bei nafuu. Karibuni sana

Onguluo

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2013
Posts
407
Reaction score
118
Habari zenu waungwana.
Napenda kuwajulisha wote kuwa ninatoa Masada wa Kutafsiri NDOTO.
Nb : Sina uhusiano na uganga wa kienyeji.
 
Mimi nimeota jana nakupiga mashine mtoa mada, ukawa unalia kwa furaha badae ukaanza kulia kwa uchungu, nini maana ya hiyo ndoto dokta?
 
Nimeota ninatapeliwa na mtafsiri wa ndoto, sijui ndoto hii itakuwa na maana gani?
[emoji102] [emoji102] [emoji102] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji123]
 
NB: Wengi wa hawa watu ni wezi wa ndoto.

Hawezi ludi tena ngoja aje tuone!
Mimi nimeota jana nakupiga mashine mtoa mada, ukawa unalia kwa furaha badae ukaanza kulia kwa uchungu, nini maana ya hiyo ndoto dokta?
NB: Wengi wa hawa watu ni wezi wa ndoto.
Habari zenu waungwana.
Napenda kuwajulisha wote kuwa ninatoa Masada wa Kutafsiri NDOTO.
Nb : Sina uhusiano na uganga wa kienyeji.
kuna kipindi flani chanel ten kuna jamaa kama huyu anajifanya anatafsiri ndotio nikapiga simu nikaambiwa nirushe buku tano.
nikarusha nikaambiwa piga baada ya dakika tano,nikapiga simu haipokelewi
nikapiga weee ikapokelewa nikaambiwa tena subiri dakika moja
mara dakika mbili
mpaka nikachoka nikaacha. sikuamini kama mtu kama yule kijana wa mzee wa heshima yule anaweza kutapeli buku tano za watu .ila jueni sio rahisi mtu kutafsiri ndoto bora uende google mwenyewe
 
Achana na hawa mabwege,... Yaani ulale kitandani kwako halafu oute kisha mpuuzi mmoja wa mapipa aktafsirie ulichoota??? Hell NO.
 
Mimi nimeota jana nakupiga mashine mtoa mada, ukawa unalia kwa furaha badae ukaanza kulia kwa uchungu, nini maana ya hiyo ndoto dokta?
Hiyo sio ndoto ila mtapigwa mashane we na mpenzi wako siku chache zijazo, kuanzia saa Saba usiku.wishing u good preparation!!
 
Nimeota uncle magu anaapishwa mara ya 7 na Edo kapaka nywele zake pico.Hashim rungwe ndio anaongoza upinzani bungeni.mbowe amejiunga ccm,zito anagombea udiwani
 
[emoji102] [emoji102] [emoji102] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji123]
Msaidizane hapa me siotagi lkn nataka tafsiri tu! haya nitafsirie.
caution
ukitafsiri hovyo huwa napigwa watu ngwara mpk wanakatika miguu!!
 
Kwa ninavyofahamu mimi ndoto hutafsiriwa kulngana na mila za mambo tofauti kama dini na kabila, sasa kwanza unataka kunambia mimi pengine muislamu nikuletee wewe ndoto yangu uitafsiri hali ya kua si Muislamu? Pili ndoto zipo za aina mbili ndoto za kweli na uongo sasa wewe alimradi ndoto utatafsiri? Tatu ndoto anayoota mwanaadamu hutafsiriwa kulingana na hali ya mazingira mbayo anayo sasa wewe utajua mtu amepitia nini mpaka umtafsirie? Nne mtaalamu ww unatumia vigezo gani vya kutafsiri ndoto?
 
Tuanzie apa yaani me toka mwaka uanze naota ndoto ya aina Moja tu nayo Ni shule
Kila siku naota nipo shule japo nimemalizaga siku nyingi ila lazima niote nipo Shule Kila siku iyo Ni nn
 
itakua wewe ni mtanzania dada ndio mana unaota shule mana tanzaniania inahitaji elimu kila siku tukiamka bado tatizo ni elimu tu
 
Back
Top Bottom