Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Infinity works, tunatengeneza madirisha, milango, partition za ofisi, maduka ya madawa, makabati kwa kutumia alluminium. Tumehamishia ofisi toka tegeta kwa ndevu kwa sasa tuko tegeta njia ya...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kuna viwanja vinauzwa maeneo ya kigamboni vinatizamana n AVIC TOWN umbali kutoka city center ni 26 KM.na kutoka njia kuu y kimbiji kwenda kwenye viwanja ni 3 KM TU.Vipo vilivyo pimwa vitatu tu...
1 Reactions
5 Replies
3K Views
Kuna mtanzania mwenzangu humu anafanya hii biashara? Kuna maelezo machache ningependa kupata. Natanguliza shukrani.
0 Reactions
0 Replies
695 Views
Kama nilivyoandika hapo juu, natafuta soko zuri la viazi vitamu(vyenye ganda jekundu kwa ndani cha njano) ninavyo vingi tu Mkoani Mara...
3 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari zenu natafuta mkulima anaeuza viazi lishe (viazi vitamu vyenye rangi ya karoti)kwa bei ya jumla nipo Dar
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kutana na mafundi makini na waliobobea kwenye uwanja huo tuwasiliane kupitia 0777549772, 0675953263 NB:Popote Tanzania tunaenda ila gharama za usafiri, chakula na malazi haituhusu KARIBUNI...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
MacBook Pro 13 inch Core i5 RAM 4GB HDD 500GB Intel HD Graphics 4000 1536MB Processor Speed 2.5GHz OS X EL Capitan Version 10.11.3 Clean Condition PRICE: 1.36M Mawasiliano +255712264469...
0 Reactions
0 Replies
633 Views
nauza kiwanja changu chenye ukubwa wa metre 20 kwa 45 kiwanja kipo metre 200 kutoka barabra kubwa ya lami Moshi Dar kipo karibu na kanisa la romani karibu na barabara ya lami ya Kawawa Kirua bei...
0 Reactions
0 Replies
672 Views
nauza kiwanja changu chenye ukubwa wa metre 20 kwa 45 kiwanja kipo metre 200 kutoka barabra kubwa ya lami Moshi Dar kipo karibu na kanisa la romani karibu na barabara ya lami ya Kawawa Kirua bei...
0 Reactions
0 Replies
548 Views
Habari wana Jf nahitaji kujuwa bei za magari Vs zile za wabunge bei gani V8 Lend lover Plado nk„„„„„„„„„[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
0 Reactions
27 Replies
7K Views
Naitwa George nipo kigamboni natafuta kazi ya kinyozi far as salaam
1 Reactions
4 Replies
822 Views
Clean condition. Unapewa Original charger na cable. 400,000/= tu. 0657119873 Photos utatumiwa. Location:Dar es salaam [emoji4]
0 Reactions
0 Replies
642 Views
Habari wakuu. Moja ya kazi za mwalimu ni kusahihisha(marking) na kupanga matokeo. Okoa muda wa kufanya zoezi hili kwa kutumia Ms excell iliyoratibiwa ambapo wewe utarekodi Jina na marks tu za...
0 Reactions
5 Replies
906 Views
Mashamba yenye ukubwa kuanzia heka 1 hadi 15 yanauzwa kwenye kijiji cha msolwa mji mdogo wa chalinze, kwa mawasiliano piga 0756417504. sio dalali, ni mmiliki. bei ni milioni 1.3 kwa heka 1.
0 Reactions
3 Replies
4K Views
A HR specialist who help with interpretation of the employment laws and regulations of Tanzania. Help maintain quality employment relations at a work place, develop performance appraisal systems...
1 Reactions
0 Replies
487 Views
Jipatie monitor (kioo cha computer) inch 14 chenye tv hapo hapo kwa shilingi elfu 90 tu. Hakuna habari ya kununua tv box yani unachomeka direct kin'gamuzi chako au DvD yako unakula burudani...
0 Reactions
0 Replies
776 Views
jamani wanajf mim ni fundi bomba na msambazaji wa vifaa vya bomba kwa mahitaji ya marekebidlsha,fitiings za nje na ndani.NAPATIKANA KIBAHA KWA MATIAS LAKINI POPOTE MAENEO YOTE TUNALETA MZIGO...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
DVD
Dvd for sale Princo, gold and platinum Printable and non printable 0764319884
0 Reactions
0 Replies
749 Views
Hello Wadau Gari tajwa hapo juu Inauzwa ni Toyota Hilux double Cabin 2.8. Specification 3L Engine 4 wheel Drive Manual Transmission Wishbone Bei million 15 Mawasiliano 0754 831 254
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Back
Top Bottom