Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Wakuu mwenye kujua bei Na wapi inapatikana mashine ya kutengeneza kokoto za mawe anijulishe 0754459572
0 Reactions
2 Replies
5K Views
chumba kikubwa na kizuri..madirisha mawili and gypsum..umeme upo pia plus godoro jipya la 4*6 kwa bei nzuri..room ni elfu 40 kwa mwezi kinawafaa pia wanafunzi wa udsm ni jirani na chuo.karibuni
1 Reactions
8 Replies
2K Views
1. Line ya tigopesa 2. Line ya M pesa 3. Line ya airtel money 4. Mashine ya maxmalipo Full documents zipo. Price: 1million fixed. Call: 0732 000 001
0 Reactions
20 Replies
5K Views
Uzinduzi wa Phantom 6 jijini Dar es Salaam ulikuwa ni wa Aina yake kutokana na umati mkubwa kufurika na kuwepo kwa burudani nyingi zilizotumbuiza. Watu walipanga foleni ndefu kwenye mistari ili...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Waungwana kama kichwa cha habari kilivyo jieleza apo juu nilikua natafuta soko la dagaa Nyasa la jumla kwa apa dar na kama kuna mtu atakua anawaitaji kwa wingi ani PM tuongee vizuri ili tufanye...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kama kilivyo kichwa cha habari hapo juu,nina shida na pikipiki aina ya Baja ya mtumba hasa kwa ajili ya matumizi ya shambani,nikipata XL 250 itakuwa vizuri budget yangu ni 6mil tunaweza kuongea...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wanajamii, kwa hapa dar napata wapi mashine yenye ubora ya kukatia nyama kwa ajili ya Biashara ya BUtcher best Kire
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Imetumika miez mitatu niko arusha kwa atakayehitaji 0755661541
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Inatumika zaid kwenye toyota aristo na lexus gs 300. Nahitaj haraka
1 Reactions
0 Replies
595 Views
Kwa wanaohitaji practical za physics,chemistry na Biology niko na mobile laboratory nakufikia popote ulipo kwa walioko Dar es salaam au fika ofisini kwetu barabara ya kwenda bagamoyo shuka kituo...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
New Petrol,Diesel and Kerosene Filling station at Kibaha and another one of same qualification at Mkuranga for sale, 5 pumps, 4 tanks of 100,000 ltrs, car-wash 17 toilets for passengers...
1 Reactions
23 Replies
3K Views
Tembelea www.sosteneslekule.blogspot.com hapa utakutana na elimu mbalimbali kuhusiana na umeme na technolojia mbalimbali ambazo zinalengwa katika maisha ya kila siku duniani
0 Reactions
0 Replies
731 Views
Kwa yeyote Mwenye kuhitaji line ya M-pesa inauzwa tafadhari!
0 Reactions
4 Replies
838 Views
Ina Aloe vera ya asili inayoua vijidudu na inayoondoa harufu mbaya katika makwapa. Haina Chumvi ya Aluminium wala anti-perspirant. Chumvi za Aluminium ni sumu na huaribu mifumo ya fahamu...
0 Reactions
0 Replies
815 Views
Nauza tvs bajaj ya miguu 3 na boxer bm 150 zote jumla kwa milioni 6,200,000/= .. kuna ofa kabambe ndani yake.. piga 0742~634945..
1 Reactions
3 Replies
3K Views
Wadau kwa mwenye mashine yaselcom nzima na anayeuza bei ya kawaida ani pm
0 Reactions
2 Replies
2K Views
iPad min inauzwa bei nafuu kabisa ya Tsh 300000. Imenunuliwa tar 28/09/2016 ina leather cover yenye detection. Eneo ni posta mpya dar es salaam. Kwa aliye interested aniPM
0 Reactions
2 Replies
913 Views
K.n.y bizplan Nauza toyota starlet yenye sifa hizi. 1.Displacement: 1330 cc 2.Colour: Dark Blue 3.Model: Toyota Starlet Carat 4.Mileage: 20,000 5.Rims: Sports 6.Transmission: Automatic...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Vitu vinauzwa kwasababu aliyekuwa anavitumia ni mwanafunzi na kwasasa amemaliza masomo yake.Vitu hivyo ni vifuatavyo:- Kitanda cha 3×4 Dressing table Jiko la gesi(mtungi mdogo wa mihan gas)...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Back
Top Bottom