Natafuta kampuni ambayo ina uwezo kuchimba kisima maeneo ya Moshi bar karibu na relini njia ya kuelekea Kampala university. Nimechimbiwa na waswahili wenzangu visima 2 lakini yamebaki mashimo tu...
Ndugu mteja nauza hii gari Land Cruiser 1HZ model HZJ105-GCMRS year of manufacture 2000
Gari ni nzuri
Bei Milioni 24,000,000/=
Maongezi yapo usiogope.
Namba ya simu;
+255752307878
Kwa anayependa anaweza kushiriki kwenye bahati ya kujishindia Tiketi za kwenda kutazama Muvi ya Tom Cruise - Jack Reacher ambayo ndio itaoneshwa kwa mara ya kwanza Dar Free Market Ijumaa 21 Oktoba...
Domain names za .com kwa bei ya Tsh 10,000/= kwa mwaka
Unaipata instantly
Tunakuunganishia kwenye blog yako free
kwa wanaohitaji website hosting: bei ni Tsh 5000/ kwa mwezi or 40,000/ kwa mwaka...
Kwa mahitaji ya kurekebisha Computer...kama haiwaki au ipo slow,Ku install Windows xp,7,8,10 au Apple OS.Data Recovery za flash memory cards pamoja na Harddisk. Ofisi ipo kariakoo mtaa wa msimbazi..
Tunafanya repair za Laptop na Desktop zenye matatizo mbalimbali na kurudia hali yake ya kawaida;
Motherboard repair - tunafanya repair ya chip mbalimbali zilizokufa kwenye motherboard, diodes...
Natafuta laptop tajwa hapo juu...
Specifications iwe na RAM 8GB
Harddisk 500 GB
Ni-PM kama unayo pamoja na ulipo na gharama zako, biashara tufanye tarehe 7-11-2016.
Je, unajua ni Kwanini #Kuroiler ndio kuku mwenye faida kuliko kuku mwingine yoyote .
Kuroiler ni mchanganyiko wa kuku wa aina mbili. Ni mchanganyiko wa Jogoo wa broiler ( Kutoka Sasso). Hawa...
ALOE HAND & FACE SOAP.
Ni sabuni ya maji inayotumiwa kwa kunawia, Uso , Mikono na Kuogea pia, imetengenezwa kwa Aloe Vera na imewekwa katika uwiano sawa wa ngozi za aina zote.
Husaidia na...
Arctic sea imetokana na mafuta ya samaki anayepatikana kwenye kina kirefu cha bahari ya Arctic anayetoa Omega 3 (750mg) na mafuta ya mizaituni inayotoa Omega 9 (250mg).
FAIDA:
01. Husaidia...
Nyumba ipo Kimara mwisho km 3 kutoka barabara ya MOROGORO maeneo ya Mavurunza eneo limepimwa lina ukubwa wa sq mita 900 nyumba imeishia linta ,(haijapauliwa) ni selfu ina vyumba 3 vya kulala...
Tunatoa huduma vifuatazo
Website designing kuanzia TZS 150,000
Website Hosting Kuanzaia TZS 5,000 kwa mwezi
Domain name Registration TZS 25,000 Kwa mwaka
Mawasiliano: 0679732975
Habari za mda huu wana JF,
Yeyote mwenye kufanya biashara ya nguo hususan suti please anipe muongozo km naweza kupata suti yenye :-
1 Single button
2 Blue Coat
3 Black trouser
Habari msomaji!
Natafuta shamba kwa ajili ya kufugia maeneo ya kiluvya lenye ukubwa kuanzia hekari moja na kuendelea.
Tafadhali mwenye taarifa au shamba tuwasiliane hapa, pia unaweza kunitumia PM...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.