Monitor TV Flat inch 14 inauzwa hapa.

Monitor TV Flat inch 14 inauzwa hapa.

mareeTZ

Senior Member
Joined
Jun 4, 2015
Posts
171
Reaction score
179
Jipatie monitor (kioo cha computer) inch 14 chenye tv hapo hapo kwa shilingi elfu 90 tu. Hakuna habari ya kununua tv box yani unachomeka direct kin'gamuzi chako au DvD yako unakula burudani. Ukinunua Monitor hii aina ya Orion (made in Denmark) nitakupa na adapter mpya nzuri ambayo utaweza pia kuitumia kwenye laptops za Toshiba. Nipo dar -es-salaam.simu no. 0674 522382.
1477313487675.jpg
1477313502503.jpg
1477313570658.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom