Natafuta soko la viazi vitamu

Kama nilivyoandika hapo juu, natafuta soko zuri la viazi vitamu(vyenye ganda jekundu kwa ndani cha njano) ninavyo vingi tu Mkoani Mara...
habari ya kazi mkuu mimi nahitaji mbegu nipo dsm? sijui utanisaidiaje tafadhari tuwasiliane 0715805600
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom