mkuu sikufichi..hii imenikuta shamba langu la kiluvya huko..Shida yenu mnauza shamba moja zaidi ya mara tatu
majinga sana haya mamtu yanataka kula kiulainimkuu sikufichi..hii imenikuta shamba langu la kiluvya huko..
yanii ukitaka kununua shamba hakikisha na ujirithishe kwenye serikali za mitaa na serikali zilizopita za mitaa nk na majirani wa eneo jirani adi madereva boda boda wa maeneo hayo yani piga survey ya kutosha...mie kuna bwege kauza kama mara mbili shamba langu na mara zote nimetimua wapuuzi..yani kuingizana garama ***** za wanasheria kupotezana mda nk
ila safari hii nazungusha ukuta..maaana nguzoo ukiweka mipakani hawakomi
mkuu sikufichi..hii imenikuta shamba langu la kiluvya huko..
yanii ukitaka kununua shamba hakikisha na ujirithishe kwenye serikali za mitaa na serikali zilizopita za mitaa nk na majirani wa eneo jirani adi madereva boda boda wa maeneo hayo yani piga survey ya kutosha...mie kuna bwege kauza kama mara mbili shamba langu na mara zote nimetimua wapuuzi..yani kuingizana garama ***** za wanasheria kupotezana mda nk
ila safari hii nazungusha ukuta..maaana nguzoo ukiweka mipakani hawakomi
Kuna namba ya muhusika mpigie, halafu utanunua kitu bila kuona? Utanunua bila kushirikisha serikali ya mtaa husika? Je utanunua bila kwenda ofisi ya ardhi ya eneo husika kujiridhisha? Ikiwa huna uwezo wa kununua basi wapishe wenye nafasi zaoyani kila nikirejea kusoma hii thread naona utapeli tuu
bei na eneo haliendani hata
Mkuu mwenyewe mwenye eneo ni mama mtu mzima jirani yangu, tena mwenye family yake na heshima zake, nimekuwekea namba zake, hapo hakuna dalali wa mtu Kati, nunua kwa kufata taratibu zote za serikali wala usinunue kwa njia za Pembeni,Natamani kununua lakini naogopa kutapeliwa
Ndugu yangu, hayo ni matatizo ya kuuziana bila kufata utaratibu, na hiyo inatokana na mtu kukwepa gharama ndogo sana za serikali za mitaa, matokeo yake anakuja kupata hasara kubwa, wizi hauna eneo wala Kabila wala kwao, wizi na utapeli ni tabia ya mtu binafsiMkuu, samahani kama nimekukwaza, ila naongelea kutoka ujuzi wangu..
ata auze mama mzee, watu wa kibaha wana michezo ya kuuza shamba mara tatu tatu au kuuza shamba ambalo mwenyewe hajui kutokana na mambo yao yakifamilia.
hizi za kuuziwa shamba na watu wazima ndo mbaya, unakuta ndugui yake mwenye mali yupo mbali akirud baada ya miaka mitatu mitano unakutana na kimbembe..mda uo mtu mzima ashachomoka kitambo