Kamata pesa chapchap kama una hii cable

Kamata pesa chapchap kama una hii cable

mkandumbwe

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2015
Posts
424
Reaction score
371
Wasalam....
Pc yangu haina port ya VGA wala HDMI bali ina D- Port (Display Port). Sasa ninataka kuunga tv yangu na tv flat sreen ili niweze kupata live streeming.

Ninatafuta hii cable ya D- Port male to HDMI female ili niweze kuunga tv yangu na hii pc yangu.

Kama unayo piga 0732 000 001 haraka upate pesa.

1478103950769.png
 
View attachment 428331
Ngoja waje wenyewee mkuu
 
Unatumia comouter aina gani?
Nakushauri nunua graphics Card VGA card
 
Mwana jichange nunua pc yenye HDMI port utainjoy sana. Sidhani kama quality ya USB to HDMI itakuwa poa sana.
 
Mi pia nahitaji cable ya Ku mirror smartphone kwenye TV flat. Kama mtu anauza au unajua zinapouzwa. Plz help
 
Back
Top Bottom