Shamba linauzwa morogoro habari njema kwa wakazi wa morogoro au hata hapa dar shamba kubwa sana linauzwa morogoro limelimiwa mpunga mpaka sasa ni hekali 12 na bei yake ni rahisi million 7 kwa...
Wana jamii ninashida sanaa na frem mbili.
Kwanza kwaajili ya biashara ya vitu vya mtaani au sokoni(food staff).
Na frem kwaajili ya kukamua juice ya miwa. kwa maeneo yote ya Dar...
Kwa mahitaj ya mayai ya kanga yenye uhakika wakutoa vifaranga wasiliana nani nisipokua hewani waweza ni sms wasap kupitia 0717 209059 ila elimu ya ufugaj ni bure
KARIBU SANA NAFAS NDIO HII
Napenda kuwatangazia kuwa kuanzia tarehe 5 mwezi ujao tutakuwa tukitoa kuku wa nyama kuanzia 1000 tunapokea tenda kuanzia kuku kumi tutakufikishia katika eneo lako la kazi au ofisini kwako bei...
Habari rafiki?
Je umekuwa na kiu ya kuongeza kipato chako zaidi ya unachopata sasa? Au kwa sasa huna kipato cha uhakika?
Karibu kwenye semina ya MILIONI YA ZIADA,
Hii ni semina ambayo utajifunza...
Nauza samaki sato na sangara jumla na rejareja hapa jijini Dar. Natafuta tenda za samaki eneo lolote Dar, mahotelini, maofisini, mashuleni na hata kwa wafanyabiashara wa reja reja (wenye mabucha...
Natafuta nyumba ya double rooms self contained.
Bajeti: 100,000 kwa mwezi
Kama wewe ni mwenye nyumba na una nyumba yenye sifa nilizotaja hapo juu tafadhali wasiliana nami kupitia:
Simu...
habari wadau,nahitaji mtu yeyote mwenye chumba chakupangisha kuanzia maeneo ya ubungo stand ya mkoa mpaka big brother kikiwa mabibo ni vizuri sana...bei kuanzia shilling 40 - 50 naomba ni PM...
Habari?
Nahitaji chumba cha biashara maeneo ya Magomeni au Manzese...
Bei isizidi 50,000/= kwa mwezi.
Njoo pm au nitumie text hapa 0766444050(whatsapp only)
Asante
haijatumika sana bdo mpyaaaaaaaa
Bei ni 2m sina maelezo sana chombo kinajieleza
Mawasiliano ni 0625499022 nitxt
Whatsap 0657445777 ...
Npo dar manzese.....
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.