Natengeneza websites bei maelewano

Ochutz

JF-Expert Member
May 21, 2011
465
105
Nina uzoefu wa miaka sita kwenye hiyo industry. Nimefanya kazi kwenye makampuni mbalimbali ndani na nje ya nchi. Nimebobea katika utengenezaji wa websites za kawaida na za simu. Pia natengeneza applications za simu katika platform za Blackberry na Android. Zaidi tembelea tovuti hii www.ewebtz.com. au rusha mail hapa info@ewebtz.com. utajibiwa mara moja.
 
Nahitaji forum kama hii ya JF (kwa muonekano na functionalities) Ukishatengeneza utanipatia ikiwa kwenye folder pamoja na sql file usiweke forum yoyote nitacreate na ku upload mwenyewe... by the way nafaham vizuri sana kutengeneza bt niko busy kwa muda huu. Kama kweli u r good fanya kaz niambie gharama. use vb.
 
Angalia nimekuPM tufanze biashara...!
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom