Nahitaji TV 65 inches

Nahitaji TV 65 inches

Top Thinker

Senior Member
Joined
Sep 8, 2011
Posts
183
Reaction score
125
Kama una TV ambayo ni 65" weka offer yako hapa chini, isiwe plasma tu.
LG inapewa kipaumbele zaidi, smart, 3D will be added advantage.
Thank You
 
Sijui kama huwa mnafanya research kabla ya kununua vitu hasa vinavyotumia umeme. Hivi ulishajiuliza ni kwa nini betting zote wamefunga Samsung? Ukweli ni kuwa tv ya Samsung ndio tv pekee inayoweza kuwaka 24/ 7 bila kupata shida.
Vile vile Samsung inatumia 8.2 rgb pixel while hiyo unayosemea ni 6.4
Msipende kudanganywa na umbile la tv
Function ya kwanza ya tv ni kuangalia na mengine yanafata. Sasa Samsung kwa kuangalia picha yake imeboreshwa kuliko tv nyingine duniani vile vile na uimara wake.
Ila kama unapenda shape ya tv iwe nzuri nenda kanunue hiyo unayoisemea.
 
Kila la gheri mkuu katika maamuzi sahihi.
 
Attachments

  • 1478145782343.jpg
    1478145782343.jpg
    46.8 KB · Views: 57
  • 1478145787462.jpg
    1478145787462.jpg
    42.4 KB · Views: 55
Sijui kama huwa mnafanya research kabla ya kununua vitu hasa vinavyotumia umeme. Hivi ulishajiuliza ni kwa nini betting zote wamefunga Samsung? Ukweli ni kuwa tv ya Samsung ndio tv pekee inayoweza kuwaka 24/ 7 bila kupata shida.
Vile vile Samsung inatumia 8.2 rgb pixel while hiyo unayosemea ni 6.4
Msipende kudanganywa na umbile la tv
Function ya kwanza ya tv ni kuangalia na mengine yanafata. Sasa Samsung kwa kuangalia picha yake imeboreshwa kuliko tv nyingine duniani vile vile na uimara wake.
Ila kama unapenda shape ya tv iwe nzuri nenda kanunue hiyo unayoisemea.
Mkuu, Samsung wametoa ya inch 65?

Asante kwa ushauri mkuu. Ila nimesema "Lg inapewa kipaumbele", haimaanishi ukiwa na Panasonic, au Sharp au Samsung sitaihitaji. But in short nimesema LG kwa kuwa almost electronic appliances zangu zote ni za LG
 
Sawa ila fanya research na soma sana kwenye mtandao utajua nachozungumzia ni nini
 
Kama una TV ambayo ni 65" weka offer yako hapa chini, isiwe plasma tu.
LG inapewa kipaumbele zaidi, smart, 3D will be added advantage.
Thank You
Njoo tukupe samsung yenye zenye ukubwa wa 65inch kwa bei zifutazo

SAMSUNG LED TV 65ES8000(Smart) Tsh 9,560,000.

SAMSUNG LED TV 65H6400(smart) Tsh 6,908,000

SAMSUNG LED TV 65H8000(smart & curved)
Tsh 9,453,000

SAMSUNG LED TV 65F8000(Smart) Tsh 10,737,000

SAMSUNG LED TV 65HU7200(Smart Curve and 4k)
Tsh 7,634,000

SAMSUNG LED TV 65JS9000
Tsh 14,000,000

SAMSUNG LED TV 65HU9000( uhdtv curved and smart and 4k)
Tsh 10,523,000

SAMSUNG LED TV 65JU6000
Tsh 6,500,000

SAMSUNG LED TV 65F9000(UHD Smart)
Tsh 13,680,000

Nimekuwekea model hapo ili uweze ku google na kupata details zaidi..pia waweza piga simu

0715531232
 
Wapi unapatikana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom