Natafuta mkulima wa maharage!

Natafuta mkulima wa maharage!

nyaggad

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2014
Posts
1,160
Reaction score
694
Natafuta mkulima wa maharage tuwasiliane kwa 0762508455!
 
Natafuta mkulima wa maharage tuwasiliane kwa 0762508455!
Kiongozi hebu weka nyama kidogo ili uweze kupata Mdau sahihi kwa wakati.
Je, unaposema unahitaji Mkulima wa Maharage unamanisha unahitaji Mtu mwenye utaalamu wa Kilimo cha Maharage au Mtu yeyote anaelima Maharage?
 
Nahitaji mtu anaelima maharage!
 
Natafuta mkulima wa maharage tuwasiliane kwa 0762508455!
Kunywa maji mengi mpaka hangover yote ya maharage uliyojula leo iishe ndo uje hapa uandike tena tangazo kama mtu aliyewahi kuona vitabu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom