Nahitaji shamba la kununua

Nahitaji shamba la kununua

Lucho

Member
Joined
Jan 16, 2013
Posts
37
Reaction score
9
Wadau natafuta mashamba yawe eka moja na zaidi maeneo ya kibaha,kibamba,
mpigi magoe na maeneo jirani ya hayo
 
Specify sifa za shamba utakalo huyaoni mabadiliko ya hali ya hewa? Shamba bila maji ni bora hiyo hela ukabet.
 
wadau natafuta mashamba yawe eka moja na zaidi maeneo ya kibaha,kibamba,
mpigi magoe na maeneo jirani ya hayo
Mcheki huyo mama Ana heka 3 kibaha, km chache kutoka morogoro road, 0654 686 700
 
wadau natafuta mashamba yawe eka moja na zaidi maeneo ya kibaha,kibamba,
mpigi magoe na maeneo jirani ya hayo

nina shamba la heka 15 maeneo ya horohoro Tanga. liko kilomita sita kabla ya kufika mpaka wa horohoro, ni kilomita 65 toka Tanga mjini na.kilomita 100 kuelekea Mombasa. Kwenye shamba hilo nimechimba lambo kubwa la maji na kuna nyumba ya vyumba vitatu, kuna banda kubwa.la kuwwza kuweka kuku wasiopungua 600 kwa mpigo. mazao yanayokubali hapo ni tikiti, bamia, pilipili aina zote, tango, karanga, kunde nk. kuna water pump kubwa ya maji. Ukiwa na nguvu ni kufanya.drip irrigation. nitafute kwa namba 0764475317. shamba liko mita 300 pembeni ya barabara kubwa ya lami Tanga-Mombasa.
 
Specifications zote hizi, muda wote uliotumia, fursa na sifa zote ulizomwaga hapa; still you wanna dispose this piece of land probably at a throw away price!
Do you know how it worth having a kinda asset like this one?
Have you just imagined how it will be valued after say 5yrs to come?! Then what was the motive behind thinking of acquiring it? How about the extra miles you have gone?
 
Nashukuru kwa maoni yako tena huku ukiyachombeza kwa kiingereza. Mimi ni muajiriwa na nimeweka vijana na kubadilisha zaidi ya mara 2. Kwa kweli naona naishia kuletewa porojo ambazo hazinilipi, ni bora nikaliuza na kurudisha hela yangu niliyowekeza nikawekeza sehemu nyingine iliyo karibu na mimi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom