TANZIA

TANZIA

Sifi Leo

Platinum Member
Joined
Mar 30, 2012
Posts
6,003
Reaction score
10,992
Nyanya wa mke wa rais amekufa na ameisha zikwa mwanza.akiwa na umri wamiaka 82 na wajukuu zaidi ya 20. Mazishi tayari mke wa rais yupo uko.

Mh raisi alikuwa tait sanaaaa ameshindwa kufika, ila nadhani ccm watakuwa wametuma mwakilishi wa raisi.
Pole mh raisi kwa kufiwa
 
Haahaha eti yuko tait hadi kwenye msiba??????
utani sasa huu
 
Back
Top Bottom