Kitomai
JF-Expert Member
- May 21, 2009
- 1,137
- 365
Kiwe katika maeneo ambayo tayari yameendelezwa, maeneo ambayo watu wameshajenga au ujenzi unaendelea...na kiwanja kiwa na hati miliki. Kiwanja kiwe na ukubwa usiopungua 1000 square meters. Kama unacho nitumie habari zake kwa njia ya email:info@kitomai.com au kwa njia ya whatsapp 0784225000 au nipigie. Nitakua na nafasi pamoja na mteja kuja kikukiona Jumatatu.