Scania tipper. Mende , Dodoma

Scania tipper. Mende , Dodoma

Mavindozii

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2012
Posts
2,110
Reaction score
2,786
Wakuu wa nchi Natumaini mnaendelea vizuri na huu mwendo kasi ,
Nina mpango wa kuhamia Dodoma na Nina scania tipper mende kwa ajili ya biashara yaani kubebea mchanga .Naomba kuuliza kama Kuna mtu anayejua hii biashara ya scania Mende kwa mwezi unaweza kupata shs ngapi please. Naombeni ushaurii wenu wakuu wa nchi .Hapa Arusha biashara imekuwa ngumu kidogo wakuu wa nchi .
 

Attachments

  • 1478278869458.jpg
    1478278869458.jpg
    32.2 KB · Views: 90
Back
Top Bottom